Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

king rockie ATL

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
260
25
Jamani heslb wametoa majina 2649 ya watu waliokosea mambo mbalimbali katika kujaza fomu haya ni:
-kukosekana picha ya mdhamini
-kukosekana sahihi ya mwanafunzi
-kukosekana sahihi ya wakili au mahakama
-kukosekana kwa sahihi ya serikali ya kijiji

Tafadhari tembelea heslb.go.tz uweze kuona!
Applicants woote wa Loans Board (HESLB) 2014/2015 pita hapa uone kama jina lako lipo kwenye list ya majina yenye makosa ili urekebishe haraka sana kama ilivyo agizwa na HESLB. Majina yoote yaliyowekwa hapa yapo kwenye mfumo wa excel na pia attachment ya pili (ipo kwenye word) ni kwa ajili ya Tangazo la kiujumla lionyeshalo jinsi ya kufuata utaratibu uliowekwa na HESLB kufanya marekebisho hayo. Tahadhali ni kwamba mwisho wa kufanya marekebisho haya ni tarehe 10 September 2014


Applicants wote waliokosea katika ujazaji fomu za HESLB makosa yapo kwenye haya yafuatayo:
-kukosekana picha ya mwombaji/mdhamini
-kukosekana sahihi ya mwombaji/mdhamini
-kukosekana sahihi na mhuri wa wakili/mahakama
-kukosekana kwa sahihi/mhuri wa serikali ya kijiji/mtaa



KARIBUNI SANA

 
Jamani heslb wametoa majina 2649 ya watu waliokosea mambo mbalimbali katika kujaza fomu haya ni:
-kukosekana picha ya mdhamini
-kukosekana sahihi ya mwanafunzi
-kukosekana sahihi ya wakili au mahakama
-kukosekana kwa sahihi ya serikali ya kijiji

Tafadhari tembelea heslb.go.tz uweze kuona!

Waliokosea kuweka cheti cha mpiga kura nao wapo?
 
wadau heslb wametoa majina2649 ya undergraduate waliokosea application na 144 wa postgraduate yan hii ni nouma sana ila msijali mnaweza angalia hapa majina yote ya undergraduate na postgraduate lakini hii ni ujanja wa bodi ya mkopo kutoa hii idadi ya watu ili wasipate mkopo bofya hizi link nlzo post uone
 
wadu endelea kubofya hapa tayari nimeshapost majina ya undergraduate na postgraduate ambao wamekosea fomu ya bodi ya mkopo
 
Back
Top Bottom