Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

oya nyie huo n uznguz na tena mkitukanwa mnalalamika majina majina mbona hamna iyo ishu kwenye web!!!!!
 
jaman list ya pil iyo mbona aifunguki aise inantia presha mwenzenu aliyefankiwa kufungua list 2 aniangalizie aya majina sabas moses,sanifu, justine na titus piason. ntashukuru sana
 
jaman list ya pil iyo mbona aifunguki aise inantia presha mwenzenu aliyefankiwa kufungua list 2 aniangalizie aya majina sabas moses,sanifu, justine na titus piason. ntashukuru sana

hayo majina ya mwaka jana ndugu
 
jaman list ya pil iyo mbona aifunguki aise inantia presha mwenzenu aliyefankiwa kufungua list 2 aniangalizie aya majina sabas moses,sanifu, justine na titus piason. ntashukuru sana

Hahahaaaa presha preshaaaa preshaaaa
 
mkuu umenena kweli kabisaa tena yamepangwa A-Z ,tcu nao wafanye yao sasa.
 
jaman yale majina yamepangwa kwa herufi lakin kama ukchek vzur herufi 'A' hakuna cjui kwanin
 
kumbuka jina la kwanza ni la mzazi so ukiwa unatafuta jina lako angalia herufi ya kwanza ya jina la mzazi wako

inabidi muwe makini kucheki hayo majina, mengine yamechomekwa kwenye kundi lisilo lake unaweza kukuta jina Pascal Idan lipo kwenye herufi M-M
 
kwaiyo hawa mpaka wapate ambao hawajakosea ndio wao wapate huo mkopo kama second round au
 
Back
Top Bottom