Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

inawezekana ambao hawajakosea wameula

kwaiyo wasiokosea wanakula kwanza mkopo then makombo yaliyobak ni ya hawa waliokosea? Lakn v2 vngne n uzembe hv kwl m2 hanasahau kuweka pcha au chet cha kuzaliwa bora aliyesahau sahini coz n kujisahau 2 lakn c o pcha chet
 
hamna cha bora hapo,huo ni uzembe tu,we mtu unasahau kusign wakati unajua ni "MTONYO"
 
Thanks God rungu limeniepuka maana nimelazimika kuamka na kukagua photocopy za form nilizotuma baada ya kulikosa jina langu kwenye list
 
Naomba mtu alokua na net aniangalizie jina langu plz
No yangu ni s0310.0077.2010
Jina langu ni MOHAMMAD F OMAR
 
Back
Top Bottom