Uchaguzi 2020 Majaliwa anafanya Kampeni kwa kutumia ratiba ya nani? Kwa nafasi gani ya Kitaifa?

Kwani kuna tatizo akifanya kampeni tuliza kipele wewe uone mzee baba kura kama zote yaaani atashinda kwa kishindo
 
Kuna Ratiba za kampeni kwa nchi nzima sasa anapokua mahali anakua kwa ratiba ya nani
Mkuu mimi nimeomba vifungu vya sheria au kanuni zilizovunjwa...mambo ya ratiba ni hoja nyepesi na ina loopholes. What if akisema anatumia ratiba ya mbunge wa jimbo husika?
 
Wewe bado kujipigia hapa? Changamka dogo, unakwama wapi?

Dogo hata mama yako,kuna madogo wanamsolola namna hii.

sababu tu ni mwanamke na ni haki yake kupigwa.
ila hawaweki hadharani sababu haina maana.
 
Mkuu mimi nimeomba vifungu vya sheria au kanuni zilizovunjwa...mambo ya ratiba ni hoja nyepesi na ina loopholes. What if akisema anatumia ratiba ya mbunge wa jimbo husika?
Mkuu hakuna kifungu chochote kinachozuia,hakuna atakaekuonyesha hapa.
Wao wamelipuka na hii hoja baada ya kumsikia mgombea wa chama cha Mbowe akisema.
Wakikupa kifungu Cha sheria unitag.
 
Dogo hata mama yako,kuna madogo wanamsolola namna hii.

sababu tu ni mwanamke na ni haki yake kupigwa.
ila hawaweki hadharani sababu haina maana.
Muwe na adabu huko CCM, ukijipigia unakaa kimya tu. Kulikua na haja gani ya kupost picha? CCM mazuzu sana.
 
Bahati mbaya Chadema haina figureheads wa kuweza kuzunguka na kumwombea kura mgombea wao. CCM itamtumia Mh. Majaliwa. Itamtumia Mzee Wassira na mwingine yeyote. Kanuni hazikatazi.

hapa ndipo natofautiana na lissu,kama swala ni spana beba yoyote.

habari za kujifanya unakagua vifungu vya sheria sasa hivi ni kupoteza muda.ana loose focus.

ccm ni watu wa vurumai,sio watu wa hoja nenda nao hivyo hivyo,ukijifanya wa hoja ni sawa na kupiga risasi maiti.
 
Dogo hata mama yako,kuna madogo wanamsolola namna hii.

sababu tu ni mwanamke na ni haki yake kupigwa.
ila hawaweki hadharani sababu haina maana.
Umenikumbusha, miaka ya 89, nikiwa na miaka 21, niliwahi kumbandua mama mwenye umri wa Miaka 40-au zaidi (kwa makadirio), baada ya hapo nilikuwa nikiwaangalia watoto wake ambao ni jamaa zangu mtaani afu najiuliza "wakijua watanichukuliaje".
[SUP]Huyo jamaa uliyemquote si ajabu mama yake anaeza kuwa analiwa na vijana wadogo kuliko hata makonda,Ila hamwambii 😂😂😂[/SUP]
 
Ukiandika upuuzi ujue utajibiwa upuuzi, kuwa makini na hoja zako.
Hukunijibu mimi,Ila nimemshangaa jibu ulilotoa juu ya hoja uliyoulizwa na jamaa hapo juu 🖕,haviendani kabisa.Napata wasiwasi juu ya uwezo wako wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom