Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,142
- 6,947
Sizinga wewe na ----- hamtofautiani, sasa serikali itazika maiti ngapi???? basi serikali isiishie hapo ianze kuoa condoms bure, iwalipie watu kodi za nyumba, hela ya kula daily!!!! acha akili za ujima waambie hao wenzio mfanye kazi bure aghali
Kwa nini maiti asafirishwe wakati ni Tanzania,na ardhi ipo ya kumzika.Huko anakokwenda kuzikwa si pia ni Tanzania.Kama ni kweli kwanza wafiwa poleni sana kwa msiba.
Pili narudi kwa mtoa mada, naomba nijue haya
1. hapo walikuwa hospitalini au nyumbani kwa marehem?
2.Huyo dereva ni askari au ni mwana chadema? nauliza hivi kwa sababu naona amevaa gwanda ambazo ni uniform za mgambo na chadema
3.katika mazingira ya kawaida hakuna msiba unaokosa presence ya wanawake hapo kwenye picha mbona kama ni isue ya watu wawili tu na watatu yuko anawashangaa kuonesha hayuko nao?
4. kama uwezo ulikuwa hauruhusu nini mantiki ya kusafirisha maiti? inamaana hapo alipofia ilikosekana sehemu ya kumzika?