Maiti yasafirishwa kwa pikipiki Bukoba

Mkuu hii ipo sana, nmeshawah ishuhusia Turiani Morogoro Tanzania. Miaka 53 ya uhuru😬😬
 
mimi binafsi mwenzi wa 10 mwaka huu baba yangu mkubwa kada na barozi wa ccm maiti yake ilisafirishwa kwa pikipiki kutoka mugana mpaka nyalugongo bukoba umaskini noma alafu pumbavu mazee ya pale bado yako ccm kasoro wachache tu tena kwasiri ndio cdm
 
Back
Top Bottom