Hongera sana na nakutakia miaka mingi yenye positive contribution kwa Taifa letu hili.
baba desi ....nami nakukumbuka sana........nilikuwa nakaa kule mtaa wa chamwenyewe.....kwa nyuma ukitokea pale maduka mawili.....nakumbuka kulikuwa na mihogo ya kukaanga mitamu sana pale michichani karibu na bakwata.........dah.....zamani raha kweli.....manake unatembea pekupeku toka changombe kupita toroli,kekomwanga mpaka kariakoo bila wasiwasi.....dah sasa nipo ughaibuni 30years ninamisi sana home...
Mkuu salam kisha Uhongere Desi na mama Desi nao wahongere nina mawasiliano na mmoja wa madada uliosoma nao ni jamaa wa karibu bi Lucy Mkhande ni kweli anaishi London nitajaribu nimfikishie ujumbe huu. Je baada ya kuondoka Tanga ulikua ulirudi kwa likizo za shule? na kkma ndio ukiishi mitaa au maeneo gani?
Georgina Rugimbana yuko pale pale kwao Kurasini jirani na chuo cha diplomasia. Dada yake yuko Uingereza.
Baba Desi heri ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa.
Nahakika kama wapo humu wataku pm, assuming wanataka ku re-establish contacts with any piece of you!
Lakini sidhani kama hili jamvi lina watu wengi wa demographics yako. Nimegundua wengi aidha si watu wazima au hawa act their age. Ningefurahi sana kama mpo kina Baba Desi wengi mtuletee mitazamo ya angle yenu. Mnahitajika sana, and that's one thing I miss in this baraza. Watu mnaokumbuka foleni za kununua sukari na kadi za mgao wa petroli.
I gotta tell you one thing though. Inahitaji uvumilivu kuwepo hapa watu wa rika lako, na nashukuru uwepo wenu mtu ka wewe na wengine wanao sound matured and responsible, the Rev. Kishoka's of the forum, the Kichuguu's, JokaKuu's, Mwawado's, Jasusi's, QM, Mama's, Mzee Mwanakijiji's, Augustine Mosha's, SteveD, WomenofSubtanc, Blueray, Painkiller, the BubuAK's, Halisi, the Fundi Mchundo's of the jamvi and a handful others, I don't care how old you are, but I read you guys as sooo matured and full of gravitas. And of course, the illustrious FMES types, when he acts his age.
Maana kwa kweli kuna aina ya mandhari fulani humu yanaweza kufukuza watu wazima, and I put the blame squarely on Jakaya Kikwete himself, Invisible that is, maana ana very high tolerance na watu wa mizaha mizaha na mambo ya kitoto humu.
Again, hongera na heri ya siku ya kuzaliwa Baba Desi.
...The Big Day. May I please Take This Opportunity to Invite All JF Members To Be With Me SPIRITUALLY Today As I THANK GOD For Enabling Me To Reach 50 Years of Age! May I Please Insist on the SPIRITUALLY Request As There Will Be No WORDLY Celebrations For The Event! Thank You All.
Happy birthday BabaDesi!!!! Spiritially I am always with you, but today I love to be invited to share the big day cake. Will you???