thanks...karibu,,,funny eh..
ni kama kuna free lunch offer kempisiky...
halafu unakutwa umekufa kwa kugombana na mama ntilie.....sad but funny...and strange...
In life we dont get what we want but we take what we get that is what happened to Kanumba the late
tuwe realywakati mwingine hata mpendaji hua hana uhakika kama anapenda kweli/haswa au la. . .achilia mbali anaependwa so ofcourse lazima kitendawili kiwepo kwenye haya maswala.
Ubaya ni kwamba wewe mtu wa nje unamsaidia kuhukumu "wanawake waliokuwepo kwenye maisha yake" as if walilazimisha kuwepo japo hawakumfaa wakati yeye ndio hao aliowataka na kuwachagua. Angetaka wa aina tofauti angeweza kuwa nae/nao. . .sema hakuchagua tu.
tunatambua kwa matunda yakeunajuaje kua alichokua anakitaka sicho alichokua nacho? Acha kumwongelea mtu kwa uhakika kabisa kama vile uliwahi ishi kichwani mwake.
Imetulia . . . .
Jamani wale wanaonimind, naomba mfunguke sasa. naomba msinisukume lakini . . .
tuwe realy
lizzy sijui kama unajua hili gemu la mapenzi
tunatambua kwa matunda yake
better umeadmit.ndo ukweliSilijui. . . .
Acha tu...hiyo mbaya sana unampenda mtu na yeye hajui au hakuoni kama upo. The other side of story, kama haujasema au tamka vipi mlengwa atajua kama unampenda. Inataka mfalme njozi kujua.
Kanumba was hanging with birds of the same feathers, so I was not expecting he would have someone different.
ni vigumu kuujua moyo wa mtu,ni ngumu kujua kiujazacho moyo wa mtu,truth,lies ... ni ngumu. ni ngumu kuijua kesho/future na mapenzi ni moyo na /future/kesho.so kama huwezi kupredict kesho/future na huwezi kujua moyo wa mtu ? what next .sooo hard to play the game madame lizzyKwahiyo kifo chake kinaonyesha hakua anamtaka Lulu? Kama hiyo "bahati mbaya" isingetokea akatangaza ndoa (huwezi jua labda alikua anapanga) mngesema nini?
Sasa kama ni ngumu mbona mmemuamulia mwenzenu kua aliokua nao alikua nao alimradi?ni vigumu kuujua moyo wa mtu,ni ngumu kujua kiujazacho moyo wa mtu,truth,lies ... ni ngumu. ni ngumu kuijua kesho/future na mapenzi ni moyo na /future/kesho.so kama huwezi kupredict kesho/future na huwezi kujua moyo wa mtu ? what next .sooo hard to play the game madame lizzy
Wakati mwingine hata mpendaji hua hana uhakika kama anapenda kweli/haswa au la. . .achilia mbali anaependwa so ofcourse lazima kitendawili kiwepo kwenye haya maswala.
Ubaya ni kwamba wewe mtu wa nje unamsaidia kuhukumu "wanawake waliokuwepo kwenye maisha yake" as if walilazimisha kuwepo japo hawakumfaa wakati yeye ndio hao aliowataka na kuwachagua. Angetaka wa aina tofauti angeweza kuwa nae/nao. . .sema hakuchagua tu.
Smile, that is the most difficult examination to pass in the world. Maana ukishakuwa na akiba ya mapenzi kibindoni, lazima utampa mtu mwingine. Nakuhakikishia kwamba majority ya wale wanaotoka nje ya ndoa wameweka akiba ya mapenzi kibindoni. Sasa hiyo akiba ndiyo huwa ni rahisi sana kunyakuliwa na mafisi. Kama umeamua kumkubalia basi mpe moyo wako wote, na pale utakapoumizwa Unaamua kusahau kabisa habari za kupenda.ukitaka furaha usimwamini mtu usiweke akiba yote ya mapenzi kwa mtu bakisha kidogo
Smile, that is the most difficult examination to pass in the world. Maana ukishakuwa na akiba ya mapenzi kibindoni, lazima utampa mtu mwingine. Nakuhakikishia kwamba majority ya wale wanaotoka nje ya ndoa wameweka akiba ya mapenzi kibindoni. Sasa hiyo akiba ndiyo huwa ni rahisi sana kunyakuliwa na mafisi. Kama umeamua kumkubalia basi mpe moyo wako wote, na pale utakapoumizwa Unaamua kusahau kabisa habari za kupenda.