The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,884
Kweli maisha ni kitendawili
na leo nimethibitisha wengi hufa bila kutegua.....
hebu fikiria hiii
kuna wanawake na wasichana wangapi
ambao pengine walikuwa wako tayari kumpa 'faraja na amani na mapenzi ya kweli Kanumba'?
watakuwa ni weengi mno...maelfu na maelfu na mamilioni labda...
but tazama wanawake waliokuwa katika maisha yake
Wema Sepetu na wengine..
na mwisho akafia kwa kitoto Lulu.....
utasema hakuwahi 'kupendwa kikweli kweli na na mwanamke wa maana'
yet kuna miliions walikuwa probably wanamtaka.....awe their man forever....
maisha ni kitendawili......kikubwa....
inawezekana wewe au mimi pia tunahangaika kila siku na 'wapenzi wetu full micharuko'
hadi tunakata tamaa while kuna maelfu kila siku wanakutazama na kimoyomoyo wanasema
'ningempata mimi yule' dah....
mwisho siku ukifa ndo wanalia hadi kuzimia.....while ulipokuwa hai...
walishindwa tu namna ya kukusogelea na kufunguka labda.....
au walikusogelea ukashindwa kuwatambua ukachagua micharuko
think about it..........