AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,077
Katika mtihani mkubwa ambao kila mwanadamu anao hasa kama ana mafanikio makubwa ni MAPENZI..... Kila mmoja wetu hujitahidi hivo hivo kucheza huu mchezo kwa mtindo wa bahati nasibu.... Sometimes I wish Mwenyezi Mungu angempa uwezo mwanadamu kuweza ona ndani ya roho ya alompenda kwa dhati/Ukweli/deeply chembe tu.... hata kama ni mithili ya punje ya poda ya hayo mapenzi for her/him to realise how truly apendwa na huyo mtu. However it is not possible na ndio maana kuna mengi ambayo hupelekea tokana na Mapenzi.... Mengi yakiwa negative ingawa kuna positive which are rare.
Ukija upande wa Kanumba.... Hatuwezi sema hakutegua ama alitegua. Bahati mbaya sana Hakuoa.... Na you can somehow define a Man by a Woman he marries but not the ones he sleeps with. Hii haitakuja badilika; Mwanaume yeyote mwenyewe yupo katika nafasi kama ile ya Kanumba ni Lazima wanawake wake wawe red hot cheeks..... Sampuli za Wema, (Mimi ni mwanamke BUT I know if I was a Man; I would want her hata kama atakua alinifuata sababu ya kitu nilichonacho.... Yule binti anatia raha kumuangalia.... Ukija Lulu, Uwoya... ni hivo hivo).
Ndio maana wanaume wengi walio na mafanikio saana ambayo wamepata ujanani mno huchelewa sana kuoa.... sababu anamtaka Wema Sepetu; akiwa na hope atamhandle ila in the long run anajua deep within him kua hafai kua Mke! So it is better aendelee kula maisha; hoping atapata a hot lady na atafaa kua wife...
Hivi nisije nikawa nimetoka nje ya topic Boss.... Ila this is what i have on the matter....