Maisha ni kitendawili...wengi hufa bila kutegua...

halafu mbona unaangalia upande mmoja tu? je, ni wanaume wangapi wazuri kama wewe mnaoshindwa kuwapa mapenzi ya kweli kina lulu na wema? kwani na wao hawastahili kuwa na wanaume wema na waaminifu kama wewe?

mkuu asante kwa compliments...
it is a puzzle kwa kweli....
 
Orait..tunamaanisha wa hapa hapa JF tunaweza kuchukuliana mifano sio

Hebu fungukeni gals....kabla sijafa halafu watu mkazimia bure.....:)
mimi nampenda sana nanihii najua hawezi kuwa na mimi lakini ndo ivo upendo wangu upo juu yake
nitakufa na langu moyoni na yeye anaendelea kuteswa huko
ndo hapo utaona maisha ni kitendawili
 
For you - MandawaNaManenge

 
Last edited by a moderator:
The Boss huyu jamaa lazima anakufahamu itabidi nitafute namna ya kujipendekeza ili aniwezesha kukusogelea...lol


ha haa utaboreka kwangu
hakuna hata Jack Daniels
utarudi kwa Bishanga bure lol
 
mimi nampenda sana nanihii najua hawezi kuwa na mimi lakini ndo ivo upendo wangu upo juu yake
nitakufa na langu moyoni na yeye anaendelea kuteswa huko
ndo hapo utaona maisha ni kitendawili

Usife nalo funguka.....:shock:
 
mkuu asante kwa compliments...
it is a puzzle kwa kweli....

indeed. hata uumbiwe mwanaume/mwanamke wako tu (customized) haimaanisha kila kitu kitakuwa tambarare tu. kumbuka eva alikuwa customized for adam tu. na hata rebecca was customized for isaac tu. nyoyo mbili zenye nafsi huru zinapokuwa pamoja haimaanishi utashi wao unakuwa mmoja. wanakuwa mwili mmoja ila bado ni watu tofauti. wana chachu na hisia tofauti. ndio maana mapenzi ni changamoto.
 
ni kweli na ndio maana yakaitw maisha na unapaaswa uish kwa akili na hekima ya kimungu.

lakini pia sipendi kuona watu wanamchukulia Wema Sepetu kwa namna mbaya japo nakubali akosolewe au hata akanywe anapokosea. Binafsi namfagilia sana na sipendi kuona anatukanwa kwa nmna ambavyo watu wanafanya. YY ni mwanamke mzuri tena atakaye muoa atafaidi sana kwani she knows how to handle a man tofauti au tatizo ni kwamba hajapata mtu sahihi wa kumtuliza
 
Katika mtihani mkubwa ambao kila mwanadamu anao hasa kama ana mafanikio makubwa ni MAPENZI.....

Mie nadhani tatizo sio huo mtihani maana wapo wengi tuu ambao wameweza kuukabili vizuri tuu hata kama ni kwa ku-supp. Tatizo linakuja pale ambapo mhusika badala ya kuukabili huo mtihani, anajitungia mtihani wake mwenyewe halafu mbaya zaidi anashishindwa kuukabili.
 
Mie nadhani tatizo sio huo mtihani maana wapo wengi tuu ambao wameweza kuukabili vizuri tuu hata kama ni kwa ku-supp. Tatizo linakuja pale ambapo mhusika badala ya kuukabili huo mtihani, anajitungia mtihani wake mwenyewe halafu mbaya zaidi anashishindwa kuukabili.

Kitu ambacho hutuharibia ni hope.... Hope kua huyo mtu wako aweza kua for the better.... For instance Kanumba ambae ndio subject mwenyewe unataka kuniambia alikua anakua hana doubts saa ingine katika genuinity ya mapenzi ya most of his Lovers? I believe alikua nazo ila tu ile ya kusema kua anaamini they will be good for him. Hivo anaendelea ku-supp; but anakaa mtihani ule ule, masomo yale yale.... Material yale yale.....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kweli maisha ni kitendawili
na leo nimethibitisha wengi hufa bila kutegua.....

hebu fikiria hiii

kuna wanawake na wasichana wangapi
ambao pengine walikuwa wako tayari kumpa 'faraja na amani na mapenzi ya kweli Kanumba'?

watakuwa ni weengi mno...maelfu na maelfu na mamilioni labda...

but tazama wanawake waliokuwa katika maisha yake

Wema Sepetu na wengine..
na mwisho akafia kwa kitoto Lulu.....

utasema hakuwahi 'kupendwa kikweli kweli na na mwanamke wa maana'

yet kuna miliions walikuwa probably wanamtaka.....awe their man forever....

maisha ni kitendawili......kikubwa....

inawezekana wewe au mimi pia tunahangaika kila siku na 'wapenzi wetu full micharuko'
hadi tunakata tamaa while kuna maelfu kila siku wanakutazama na kimoyomoyo wanasema
'ningempata mimi yule' dah....

mwisho siku ukifa ndo wanalia hadi kuzimia.....while ulipokuwa hai...
walishindwa tu namna ya kukusogelea na kufunguka labda.....
au walikusogelea ukashindwa kuwatambua ukachagua micharuko

think about it..........

......waala.....maisha si fumbo wala kitendawili...
maisha ni choices mbili tu kwa kila kitu
Maisha yamegubikwa na Do's and Don'ts...

Maisha ni maamuzi...
either kushoto, au kulia,...
juu, au chini...
utapenda, au utachukia...

majuto au furaha yako ( wewe mwenyewe)
maishani yatokana na chaguo lako kati
ya mamuzi yako mwenyewe ( based on your experiences )

Ukijikuta kwenye mapenzi wangukia pua kila mara, usimlaumu mtu...
jilaumu intuition zako mwenyewe zinazokupelekea kujiona you are more suitable
na partners wa aina hiyo..(ndio majaaliwa ya iQ yako hiyo)
 
......waala.....maisha si fumbo wala kitendawili...
maisha ni choices mbili tu kwa kila kitu
Maisha yamegubikwa na Do's and Don'ts...

Maisha ni maamuzi...
either kushoto, au kulia,...
juu, au chini...
utapenda, au utachukia...

majuto au furaha yako ( wewe mwenyewe)
maishani yatokana na chaguo lako kati
ya mamuzi yako mwenyewe ( based on your experiences )

Ukijikuta kwenye mapenzi wangukia pua kila mara, usimlaumu mtu...
jilaumu intuition zako mwenyewe zinazokupelekea kujiona you are more suitable
na partners wa aina hiyo..(ndio majaaliwa ya iQ yako hiyo)


Mbu good point
naomba umjibu wos na maelezo yake kwenye hii thread
 
Back
Top Bottom