Maisha ni kitendawili...wengi hufa bila kutegua...

Mapenzi ni kitendawili, unapopendwa wewe wala huoni, mwisho wa siku ndio kama huo
mtoto kama yule sijui alikuwa kapagawa na nini mweeeee
 
mambo ya hayo
hawa sijui walianza kutoka lini Perice.jpg
 
Nakumbuka kuna siku Kanumba alisema hajapata wife material ndo maana bado yupo yupo. Na alisema ana bahati mbaya ya ku date micharuko. Nadhani alikuwa anahojiwa na gazeti moja la udaku. Mi nkajiuliza ana bahati mbaya au ana fanya makusudi? Na u handsome woote kweli ameshindwa kupata right choice?? Nilipoona amekaa muda bila kuandikwa kuwa ana date yeyote nkajua sasa ameamua kuachana na micharuko na kutafuta right girl ili aoe atulie. Kumbe anaendelea kula kisirisiri wale wale anaowahita mcharuko. Hakika!

Hata ukitembelea blog yake masikini mwenyewe ameweka mastaa wa Nigeria na Ghana na wake na waume zao na wote wana wenza decent. Wengine wameoa HR managers wengine madaktari; mi kuna siku nli comment Kanumba tafuta msomi uoe si msanii. Laiti angenisikia.

kweli maisha ni kuomba bahati na sio pesa...
 
Vitoto vya miaka 16 vitamu aisay...si ndo mimi naona wanze kutoa ruksa tuvianzie :cool:
 
We acha tu....ni huo mzunguko, huyu ampenda yule na yule apenda kule its hearbreaking!
 
Toka hii event ya kifo cha Kanumba... bado sijaelewa exactly what I feel.... Sijaweza comment lolote.... sasa nikiangalia hii picha..... SPEECHLESS..... And very very SAD.
lazima ujisikie vibaya kama mzazi, tena kama una w a kike unamfikiria wa kwako
mie kwa kweli pale sioni kosa, kama mmoja muuaji, mwingine mbakaji pia
 
lazima ujisikie vibaya kama mzazi, tena kama una w a kike unamfikiria wa kwako
mie kwa kweli pale sioni kosa, kama mmoja muuaji, mwingine mbakaji pia
Mna uhakika gani kama yeye ndo kamua, wacheni kununua kesi msio ziweza.
 
Thats why your The Boss, ni kweli kabisa

Ngoja mimi nije nifunguke humuhumu MMU

Kweli maisha ni kitendawili
na leo nimethibitisha wengi hufa bila kutegua.....

hebu fikiria hiii

kuna wanawake na wasichana wangapi
ambao pengine walikuwa wako tayari kumpa 'faraja na amani na mapenzi ya kweli Kanumba'?

watakuwa ni weengi mno...maelfu na maelfu na mamilioni labda...

but tazama wanawake waliokuwa katika maisha yake

Wema Sepetu na wengine..
na mwisho akafia kwa kitoto Lulu.....

utasema hakuwahi 'kupendwa kikweli kweli na na mwanamke wa maana'

yet kuna miliions walikuwa probably wanamtaka.....awe their man forever....

maisha ni kitendawili......kikubwa....

inawezekana wewe au mimi pia tunahangaika kila siku na 'wapenzi wetu full micharuko'
hadi tunakata tamaa while kuna maelfu kila siku wanakutazama na kimoyomoyo wanasema
'ningempata mimi yule' dah....

mwisho siku ukifa ndo wanalia hadi kuzimia.....while ulipokuwa hai...
walishindwa tu namna ya kukusogelea na kufunguka labda.....
au walikusogelea ukashindwa kuwatambua ukachagua micharuko

think about it..........
 
Back
Top Bottom