MgonjwaUkimwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 1,336
- 875
Sidhani kama kuna nchi yenye watu wanao lia lia kama Tz. Yaani tungependa kuona wafanyabihashara wetu wanapata hasara...kazi kweli kweli.
Tunalialia kila siku na tatizo letu hatuchukui HATUASidhani kama kuna nchi yenye watu wanao lia lia kama Tz. Yaani tungependa kuona wafanyabihashara wetu wanapata hasara...kazi kweli kweli.
Sidhani kama kuna nchi yenye watu wanao lia lia kama Tz. Yaani tungependa kuona wafanyabihashara wetu wanapata hasara...kazi kweli kweli.
Sidhani kama kuna nchi yenye watu wanao lia lia kama Tz. Yaani tungependa kuona wafanyabihashara wetu wanapata hasara...kazi kweli kweli.
Mimi ninachoshangaa ni kwamba wao (wafanyabiashara) wanaruhusiwa kupandisha bei na hivyo kipato ila sisi wafanyakazi wa serikali hatuoni reciprocal increase in our salaries!!!
Hapa naomba msiwasingizie wapinzani
wapinzani wanafanya kazi nzuri kabisa ndugu zangu wamekuwa wakitoa njia mbadala za kukusanya mapato ambazo zingeweza kuiingizia serikali pesa kibao na kuacha kuwabebesha wananchi mzigo kila siku
KJ: Wapinzani walikukosea nini wewe? Pole sana!
Very simple:
Mfanyabihashara anayepata faida ni mtanzania, faida hii inatumika tz, nyingine kama Kubwajinga alivyosema inakwenda kwenye kodi zinazohitajika sana katika shughuli za serikali.
Hapa wananchi wanafaidika mana wafanyabihashara wanapeleka magari yao barabarani kwa faida, serikali inapata kodi za kupunguza makali ya maisha yanayosababishwa na ongezeko la bei, na hivyo shughuli za uchumi zinaendelea. Kinyume chake ni kuwanyima usafiri wananchi mana wenye mabasi wangesitisha operations zao, serikali ingekosa kodi, na uchumi ungedidimia (sisi wapinzani labda tungepata kamwanya ka kuiondoa ccm).
Tumeona madhara ya kupanda kwa bei za mafuta na vyakula duniani, je hivi kweli na akili zetu tulitegemea nchi masikini kama Tz isiathirike?
Ati tunalaumu bajeti ya serikali na mishahara midogo? Ni nchi gani duniani kila kunapotokea mfumuko wa bei mishahara yake inapandishwa?
KJ: Wapinzani walikukosea nini wewe? Pole sana!
Oil markets: Bottoming out or taking a breather?
By ADAM SCHRECK, AP Business Writer 1 hour, 8 minutes ago
NEW YORK - Oil prices tumbled below $130 a barrel for the first time in more than a month Thursday, as crude's dramatic slide entered a third day accompanied by a sharp sell-off in natural gas.
ADVERTISEMENT
The declines accelerated amid growing concerns that the weakening economy and creeping inflation are eroding demand for fossil fuels in the U.S. and other large energy-consuming nations. Oil is now more than 10 percent cheaper per barrel than it was on Monday; natural gas prices are down more than 20 percent just since the Fourth of July. Still, experts are not convinced that prices have turned a corner.
Light, sweet crude for August delivery dropped $5.31 to settle at $129.29 a barrel on the New York Mercantile Exchange. Prices have fallen nearly $16 in just the past three days. Natural gas futures for August delivery fell more than 8 percent Thursday, marking their biggest one-day drop in nearly a year, according to Nathan Golz, researcher at Wachovia Securities in St. Louis. Prices for the key heating, cooking and power generation fuel settled 86.1 cents lower at $10.537, their lowest point since April.
Traders saw both the petroleum and natural gas reports as reasons to sell, as they reinforce data that show consumers are cutting back on their energy use. "We're seeing some worries about demand destruction in oil, so I think that's creating some fear among investors and leading them to sell," said Tom Pawlicki, commodities analyst with MF Global Research in Chicago.
Mkuu wangu sasa wameamua hata kupunguza uzito wa ndege na magari, kwa sababu wanasema ni moja ya chanzo cha kutumia mafuta mengi, sasa unafikiri hawa wana mchezo hao, wanayo elimu hawa na wanajua namna ya kutiumua,
sisi wabongo kazi kutumia elimu zetu kubwa kuwatukana wasiokuwa nayo!
Hivi mkuu unaonaje kama moja ya approaches isiwe kurudishwa kwa mashirika mfano wa UDA lakini lenye kujitegemea kiundeshaji huku serikali iki-regulate shughuli ya usafirishaji. Kwani kwa sasa naona ni kuna "chaos" tu!
kwa mfano kule US, magari ni lazima kila mwaka yapitie special inspection, ambayo inaweza ku-determine kuwa gari halifai kwepo tena bara barani, kwa sababu sijui miji mingine lakini ninajua in New york, zile machine na computer za kule shop zimeunganisha moja kawa moja kwenye state, kitengo cha usaifirshaji kwa hiyo kama gari halifai, state wanajua mara moja kabla hata mtu yoyote hajajaribu kufanya ujanja, sasa ukizileta hizo machine na computer bongo, ndio utakuwa umeleta mlo kwa wamiliki wa garage.
Hizi gharama kwa sasa zimepanda twice as muchHivi serikali gani ambayo haiwezi kufikiri kuwa mshahara wa kima cha chini cha 100000 kwa mwezi hata siku kumi hautoshi kwani kwa bajeti ya kawaida atlest 30000 ndo watu wanakula angalia hapa chini hizi ni bei za buguruni kwa wasitani wa familia ya watu 8 watoto 4 ndugu 2 na baba na mama.
Staftahi
Mandazi ya kununua maana huwezi kupika mwenyewe
mafuta ghari sana @ person 3 X 8 X 50.............................. 1200
Sukari robo.................................................................... 400
Mkaa kipimo kimoja ......................................................... 1500
Maji dumu moja .............................................................. 500
Maji ya kuoga Asubuhi atleast nusu ndoo kila mtu 8 X 1/2 X 500 2000
Nauri za kazini na shuleni
Baba go and return ........................................................... 2000
Watoto atleast wanne wanasoma 4 X 500 ............................. 2000
Chakula cha mchana
Maharage 1 Kg ................................................................. 2500
Unga wa ugari kg 2 X 800 ................................................... 1600
Mkaa Vipimo 2 X 1500 ........................................................ 3000
Nazi 1 X 300 ..................................................................... 300
Viungo vingine ...................................................................1000
Baba chakula cha mchana ................................................... 2000
maji ya kupikia madumu 2 X 500 ........................................... 1000
Chakula cha jioni
Mchele Kg 2 X 1200 ............................................................. 2400
Nazi .................................................................................. 300
Mkaa vipimo 2 X 1500 ........................................................... 3000
maji ya kupikia dumu 1 ...........................................................500
Maji ya kuoga jioni 8 X 1/2 X 500 ............................................ 2000
Total .................................................................................29200
Per day ni 29,200 kwa mwezi ni 876,000
Haya ni mahesabu ya haraka huyu mtu hajakula nyama wa samaki hata mara moja kwa mwezi hizo ndo gharama halisi anazotumia, huyu bado hajavaa hata nguo wala kiatu cha mtumba hapo bado hajalipa ada ya shule kwa watoto wake hacha wale ndugu wanaoshinda nyumbani kwake bila kwenda shule kwa kuwa pesa haitoshi, hapo bado hajalipa kodi ya nyumba, wala hajakunywa bia moja japo kwa kila jumapili tu.
Mnaweza kuona ni usanii kiasi gani kila mtanzania anafanya kwani watu wameshazoea hakuna kuishi kwa mshahara bali deals za nje ya mshahara ndo muhimu kuliko hata mshahara wenyewe.
Kwa msitakabali huu ni kwamba serikali unaruhusu watu wake wale rushwa na ndo maana wanapandisha bei za vitu muhimu bila consideration yeyote, serikali haiwezi kuwaambia wafanyakazi wake waache kupokea rushwa kwani nani atawasaidia kuziba pengo la mapato juu ya matumizi.
Bongo ni nchi ya kisanii na ndo maana wanasema wananchi hawatauliza mambo ya RDC bali watauliza utekelezaji wa ilani ya CCM, kwani watanzania wote wanafahamu kuwa bila kupokea rushwa au kuiba vifaa vya serikali ofisini na kuuza huwezi kuishi tanzania na hakuna wa kumkemea mwenzie.
Hiyo ni public sector sijaongelea private secotr kwani huko kuna madudu mengi kiasi cha kusikitisha kwani bado kuna mishahara ya sh.40000 kwa mwezi.