Maisha gani?

ha haaaa
naogopa ukisoma na kuelewa waweza start to believe
he is cheating you everyday
na wewe uka get even lol
too much knowledge can be dangerous

umewahi pia jifunza how to read people thru their body language?????/
ukiijua hiyo hata mama yako mzazi hataweza kukudanganya....
mimi huwa naweza kumsoma mtu thru body language hadi naogopa lol

In blue usijali siwezi kabisa get even... alafu yupo mbali thus deep down
i do know kua kuna probality kubwa kua ana infidel.... but still sina mpango
wa kua even...

The last para.. I am really good at that... ni mmoja wa wale watu huweza
detect something kuhusu mtu or btn watu thru their body languages...lol

mimi my greatest fear ni hilo
yaani huwa najua the truth always
ni kama it is impossible to lie to me...
hadi najiogopa lol

mimi my greatest fear ni hilo
yaani huwa najua the truth always
ni kama it is impossible to lie to me...
hadi najiogopa lol

Mimi hua sometimes najua kua my man is lying to me
But naona kabisa yuko comfortable na anaamini kua
nimemuamini hali ni otherwise... hua namuacha hivo hivo
ili niendelee kumsoma bila yeye kua aware kua i know
he is lying... na kama ni muhim nachua clue yoyote kujifanya
kua when he lied niliamini ila kuna the other side pia nime observe...

Sasa Boss wewe hapo wajiogopa nini hali ni adv...lol

inaogopesa mno kwa mwanaume
mfano ujue mwenzio katoka kumegwa....
usiombe,na pengine huna ushaihidi,just
ur sixth sense ambayo,haikudanganyagi...
inaogopesha unaweza kuua mtu,au hujui???

inaogopesa mno kwa mwanaume
mfano ujue mwenzio katoka kumegwa....
usiombe,na pengine huna ushaihidi,just
ur sixth sense ambayo,haikudanganyagi...
inaogopesha unaweza kuua mtu,au hujui???

Nitakugagua mpaka nipate ushahidi... siku hio utashangaa
natoka saa tano usiku kuosha gari yako... ama kuanza kufua nguo
au kudai ligi ya dakika zoote 90...

na ukisha thibitisha je?

1. Najikagua kama i have changed.. i.e. mvuto, 6/6, macare..
2. Najiiuliza/reminisce when doing it when did we really both mutually in to it
3. Nachunguza kama imeathiri tendo ndani...
4. Natafuta mhusika... kujua ni nini hasa kanizidi kwa nje maana najua maeneo husika niko fit...

utakuja kupata depression kama uko hivyo
wanaume hatutoki nje kwa kuwa ndani kuna tatizo
its different,sometimes its jun for fun

utakuja kupata depression kama uko hivyo
wanaume hatutoki nje kwa kuwa ndani kuna tatizo
its different,sometimes its jun for fun

Kitu kimoja i know.. ni kua akifanya for fun... akirudi atakua na hamu
na mimi, na itakua ngumu kwangu hata kutambua...

but akifanya mpaka nikagundua... then evident trouble... inatakiwa kujipanga si kubweteka...

angalau umezungumza kitu cha maana now
very few womens wanaoelewa hivyo
kuwa tukitoka nje,tunarudi na hamu zaidi
which is better for you pia

angalau umezungumza kitu cha maana now
very few womens wanaoelewa hivyo
kuwa tukitoka nje,tunarudi na hamu zaidi
which is better for you pia

Understanding you fellow heart breaking creatures
is always one of my mission... Mimi sikogo paranoid ktk
mahusiano that from nowhere nianze kujiuliza kama ananicheat...
I live the moment for najua kabisa sio guaranteed fun...

Ila pale my woman intuition ikichukua mkondo i will know
what to do... kama nakupenda sikuachii na mpaka urudi kwenye mstari...
Labda ishindikane... then hata kama you are worth it... i let go...

Be your best katika mahusiano

Na toa Mapenzi yako yoote ya dhati..

kwa mtindo huo hata ikishindikana unajua

at least you tried but ilishindikana kuliko

kujilaumu... Ningejua.. ningejua...

Ha! haa! Hiyo waaala!!

Mpende kwa dhati, mthamini na kumjali, jitume kutafuta kwa faida ya familia then wathamini ndugu zake km uthaminivyo ndugu zako (ucwe mbaguzi), jitahidi kuwa msikivu na mwaminifu!

Be your best katika mahusianoNa toa Mapenzi yako yoote ya dhati..kwa mtindo huo hata ikishindikana unajuaat least you tried but ilishindikana kuliko kujilaumu... Ningejua.. ningejua...
.........naomba ufafanuzi kuhusu kutoa mapenzi yote..........................................

Mpende kwa dhati, mthamini na kumjali, jitume kutafuta kwa faida ya familia then wathamini ndugu zake km uthaminivyo ndugu zako (ucwe mbaguzi), jitahidi kuwa msikivu na mwaminifu!

Hili nalo neno

saa nyingine waweza
toa kila ulichonacho...
upendo wa hali ya juu
lakini muda ukifika umefika...

sucks.........

Looo yani utoke kwangu uwe na hamu bado,over my dead body, yaani hiyo kazi nitakayokupigia sijui utaenda kutoa nn huko labda upepo na vijambo tu,hahahahahaha joke
angalau umezungumza kitu cha maana now

very few womens wanaoelewa hivyo

kuwa tukitoka nje,tunarudi na hamu zaidi

which is better for you pia

Back
Top Bottom