Maisha gani?

labda there is nothing wrong with the so called infidelity. Maana namba ya wahusika ni kubwa na inaelekea ku confirm kuwa infidelity is part of real life in real world than we would want to believe in our ideal world. So cant we accept a statistically based statement that if something is consistently wrong then it right

The constant increase of number ya wahusika haimaanishi it is right...
thou inevitable.... Naona ndio maana Jada Pinckett na Mumewe Smith wao
wameamua kabisa waishi kama mke na mume but ukitamani mtu
nje unajiachia... Misingi ambayo kweli ni mibovu...

But sometimes what we believe end up to be true
even if it was'nt in the first place

i really want to understand your point here... What do you mean in this case??

the point is unapoamini kitu ndani kabisa ya kichwa chako
unajikuta una act bila kujua towards realizing what you really believe

inaiitwa the power of subcouncious thoughts

the point is unapoamini kitu ndani kabisa ya kichwa chako
unajikuta una act bila kujua towards realizing what you really believe

inaiitwa the power of subcouncious thoughts

aahuh! Which in this case the concerned when subjected to the issue of

infidelity by the one s/he loves is usually utterly destroyed inside...

aahuh! Which in this case the concerned when subjected to the issue of

infidelity by the one s/he loves is usually utterly destroyed inside...

sijui kama nimekuelewa but
kama unaamini kabisa kila mtu lazima a cheat
utajikuta unakuwa na matendo yatakayo m push mwenzio kwenye ku cheat...
Hata kama hakuwa na mipango ya ku cheat...

Umewahi sikia kwa nini wanaoshinda bahati nasibu za mamilioni
wengu hurudi kuwa masikini kuliko mwanzo?the power behind their subcounsious??????

I just dont know about this inf issue, it didnt work for me,sikuona nacho faidika zaidi ya kuwa na guilt muda wote

i think marriage is for fake people,mtu kama uko real ndoa ni matatizo ya kujitakia.....
utaambiwa mwanamke,ufue na kunyoosha nguo za mumeo,umpikie vyakula aina mbali mbali kiufundi na bado uwe mtaalamu wa kuzungusha kiuno...sasa hapa nani ambaye yuko real atataka huu utumwa??? fu...ck! wenye ndoa ni bunch of fake-as s people!

Kwani ndoa ni lazima iwe hivyo? Au watu wote waliokuzunguka ndio wako hivyo?

Kwani huwezi kuwa na bwana tu - ambaye hajakuoa - akawa na tabia hizo hizo?

I am not crazy about marriage, but different strokes for different folks. You can't judge.

Waachie wanaopenda ndoa wajinafasi, wengine hawana hata matatizo.

Kuna argument kibao kuanzia za kiuchumi mpaka za kijamii za ku support ndoa.

Kama wewe una bahati mbaya ya kuzungukwa na wanaume wenye mfumodume sio kila mwanaume yuko hivyo.

sijui kama nimekuelewa but
kama unaamini kabisa kila mtu lazima a cheat
utajikuta unakuwa na matendo yatakayo m push mwenzio kwenye ku cheat...

Hata kama hakuwa na mipango ya ku cheat...

Umewahi sikia kwa nini wanaoshinda bahati nasibu za mamilioni
wengu hurudi kuwa masikini kuliko mwanzo?the power behind their subcounsious?????

Boss in blue sikubaliana na wewe... ila nakubali kua in one way or another anae
cheat aweza kusukumwa na mpenzi wake kufanya hivo... amini usiamini
kuna watu ambao thou pushed do not dare....

In red very interesting analogy... mimi zaidi hapo hua naona ni ile hali kua
mtu analimbuka na kuona ni pesa nyingi to last forever kuliko uhalisia
and that the Subconscious plays a minimal part in this...

I just dont know about this inf issue, it didnt work for me,sikuona nacho faidika zaidi ya kuwa na guilt muda wote

Gaga My Marriage Mentor.... usiniambie umewahi cheat? au sijakuelewa...

boss in blue sikubaliana na wewe... Ila nakubali kua in one way or another anae
cheat aweza kusukumwa na mpenzi wake kufanya hivo... Amini usiamini
kuna watu ambao thou pushed do not dare....

In red very interesting analogy... Mimi zaidi hapo hua naona ni ile hali kua
mtu analimbuka na kuona ni pesa nyingi to last forever kuliko uhalisia
and that the subconscious plays a minimal part in this...

ndo maana nimekuuliza unaelewa maana ya power of subcouncious mind
actuall research ya wataalam ilifanyika kuhusu why lottery winners end up broke
nakushauri o google uisome.....

Kuna vitu vipo more powerfull kuliko akili za kawaida

Be your best katika mahusiano

Na toa Mapenzi yako yoote ya dhati..

kwa mtindo huo hata ikishindikana unajua

at least you tried but ilishindikana kuliko

kujilaumu... Ningejua.. ningejua...

Ndo wanasemaga majuto ni mjukuu Asha...'ninge'....saa ngapi tena ushachelewa!

Back
Top Bottom