Maisha gani?

ndo maana nimekuuliza unaelewa maana ya power of subcouncious mind
actuall research ya wataalam ilifanyika kuhusu why lottery winners end up broke
nakushauri o google uisome.....

Kuna vitu vipo more powerfull kuliko akili za kawaida

Then Boss ina maana sielewi vizuri... hio naongeza katika "to learn list... "

Na hio line ya mwisho nakubali kabisa!!

Ndo wanasemaga majuto ni mjukuu Asha...'ninge'....saa ngapi tena ushachelewa!

BHT hua nashangaa saaana watu wanauvunga kupenda hali tayari wapo in...

wewe tayari unajua uko katika huo uhusiano, but unaona ukifanya your level

best mpenzi wako atajidai... yaani hapo nachoka kabisa!

then boss ina maana sielewi vizuri... Hio naongeza katika "to learn list... "

na hio line ya mwisho nakubali kabisa!!

nakushauri ka google hiyo why lottery winners go broke
au the power of subcounsious mind
utaelewa..

Hivi unaelewa hata mwanamke mzunguko wa siku zake unaweza mpelekea ku cheat?????

ya gaga ni old news
yes she did,
na alikuja hapa kusimulia why......

That is why i admire this lady... yaani hana pretense kama most of us...
Imagine nilete infor nime cheat naomba ushauri... don't know if i have such guts...

BHT hua nashangaa saaana watu wanauvunga kupenda hali tayari wapo in...

wewe tayari unajua uko katika huo uhusiano, but unaona ukifanya your level

best mpenzi wako atajidai... yaani hapo nachoka kabisa!

Ashadii, huo mm ndo huwa naona upuuzi mwingine, na kwanza siamini kwenye dhana ya 'usimuoneshe' unampenda sana!!
Napenda jumla kama nimeamua, na ntafanya ninayopaswa kufanya hayo mengine matokeo tu.

Kwani ndoa ni lazima iwe hivyo? Au watu wote waliokuzunguka ndio wako hivyo?

Kwani huwezi kuwa na bwana tu - ambaye hajakuoa - akawa na tabia hizo hizo?

I am not crazy about marriage, but different strokes for different folks. You can't judge.

Waachie wanaopenda ndoa wajinafasi, wengine hawana hata matatizo.

Kuna argument kibao kuanzia za kiuchumi mpaka za kijamii za ku support ndoa.

Kama wewe una bahati mbaya ya kuzungukwa na wanaume wenye mfumodume sio kila mwanaume yuko hivyo.

you must be so naive kutokujua ndoa zote ziko hivyoo......

tangu utotoni mtoto wa kiume hafundishwi kazi za ndani kama kuosha vyombo kupiga deki etc.....mtoto wa kike ndio anambiwa afanye hivyo matokeo yake naye anajijengea hizo ni kazi za kike......sasa wewe leo uniambie wanaume wote hawako hivi nakushangaaa ni sawa uniambie nitafute sindano kny mchanga!

as you said diffrent strokes for different folks,so sidhani kama umeona ajabu sana kukutana na mtu ambaye anaoppose ndoa hapa...ni oppinion tu kama nyie pro marriage mlivyo!

Ashadii, huo mm ndo huwa naona upuuzi mwingine, na kwanza siamini kwenye dhana ya 'usimuoneshe' unampenda sana!!
Napenda jumla kama nimeamua, na ntafanya ninayopaswa kufanya hayo mengine matokeo tu.

mmh wee bht una misimamo mikali. hivi umeolewa?

nakushauri ka google hiyo why lottery winners go broke
au the power of subcounsious mind
utaelewa..

Hivi unaelewa hata mwanamke mzunguko wa siku zake unaweza mpelekea ku cheat?????

In blue will definitely do that... I love kukusanya knowledge...
inafanya uelewe mambo mengi saana in depth sio surface..

Boss in red hio kali... hebu dadafua...

Ashadii, huo mm ndo huwa naona upuuzi mwingine, na kwanza siamini kwenye dhana ya 'usimuoneshe' unampenda sana!!
Napenda jumla kama nimeamua, na ntafanya ninayopaswa kufanya hayo mengine matokeo tu.

Nakuunga mkono asilimia mia... kwanza personally nikiwa na mpenzi wangu ile

dhana ya MAPENZI KIKOHOZI naona ilitungwa kwa ajili yangu... atajua tu nampenda

Am not good with words za I Love you... But matendo will say it all!!

I just dont know about this inf issue, it didnt work for me,sikuona nacho faidika zaidi ya kuwa na guilt muda wote

Gaga, ama kweli ukiwa mkweli kwa nafsi yako, utakuwa mkweli kwa wengine!

Nakuunga mkono asilimia mia... kwanza personally nikiwa na mpenzi wangu ile

dhana ya MAPENZI KIKOHOZI naona ilitungwa kwa ajili yangu... atajua tu nampenda

Am not good with words za I Love you... But matendo will say it all!!

Wengine wanasema akijua unampenda atakusumbua sana/anakusumbua kwa kuwa ulimuonesha unampenda sana...lol!

Mm sio kikohozi bali kifaduro hasaa! Let him know i love him and the wholeworldwide too....!

Gaga My Marriage Mentor.... usiniambie umewahi cheat? au sijakuelewa...

Mhhh nilishawahi ila sikuambulia nilichokuwa natafuta baasi nikatulia,ila ni sababu ya mambo ya ndoa nikaona kama ni kimbilio huko nako nikakuta shubiri tu, ya zamani hii story looo

Wengine wanasema akijua unampenda atakusumbua sana/anakusumbua kwa kuwa ulimuonesha unampenda sana...lol!

Mm sio kikohozi bali kifaduro hasaa! Let him know i love him and the wholeworldwide too....!

aaaisee hio in blue imenikosha hasa... Dah! Mimi naona mtu yeyete yule asemae

sitamuonesha mapenzi atajidai... ndio ile list ya wanaokua na hao wapenzi wao not

out of love but out of need... kwamba tu anamfaa then every thing is OK... Sad.

Mhhh nilishawahi ila sikuambulia nilichokuwa natafuta baasi nikatulia,ila ni sababu ya mambo ya ndoa nikaona kama ni kimbilio huko nako nikakuta shubiri tu, ya zamani hii story looo

Gaga huishi kunishangaza wewe mdada wewe.... Dah!

Ile 17 years Anniversary kumbe na misuko suko humo humo...

No wonder you seem to be a good person... the best way ni kujifunza tokana na makosa...

aaaisee hio in blue imenikosha hasa... Dah! Mimi naona mtu yeyete yule asemae

sitamuonesha mapenzi atajidai... ndio ile list ya wanaokua na hao wapenzi wao not

out of love but out of need... kwamba tu anamfaa then every thing is OK... Sad.

Kwanza ukishasema umpende 'nusu nusu'...kwangu hakuna mapenzi...usanii mtupu.
nataka staki doesnt apply in love life (at least to mine)
ukiamua kuyavulia maji ngup basi yaoge tu....

Kwanza ukishasema umpende 'nusu nusu'...kwangu hakuna mapenzi...usanii mtupu.
nataka staki doesnt apply in love life (at least to mine)
ukiamua kuyavulia maji ngup basi yaoge tu....

Bht... hamna hio ndugu yangu...

Kumpenda nusu nusu = needing her/him
Kumpenda goes all the way in.... = LOVE

How wonderful to be in love... nashangaa hata wanaojitesa kwa kujibania kwa wapenzi wao!!

Gaga huishi kunishangaza wewe mdada wewe.... Dah!

Ile 17 years Anniversary kumbe na misuko suko humo humo...

No wonder you seem to be a good person... the best way ni kujifunza tokana na makosa...

unafikiri miaka 17 inakuja tu kwa mteremko??kuna mambo unachemsha then unajistukia, kama tulivo wanawake huwa tunatulia sana ila maji kuna wakati yanakuwa ya shingo na usipokuwa na washauri wazuri unafanya mambo ya ajabu sana

Back
Top Bottom