Ushauri: Namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa sehemu ya mwili wake inatoa harufu kali

Ongea naye kwa njia hii

images - 2023-11-08T185257.277.jpeg
 
hii mbinu ntaitumia sku mojA mkuu
Ila uwe makini kweli mkuu!
uwe na confidence hasa jifanye hujui kitu na wala huhusiki na chochote kuhusu hio sms...

mimi nilishawahi kugombanisha watu kwa namba ngeni na wakapigana kabisa, mpaka wa leo mwaka wa 7 hawajui kama nilihusika

na nilivyomaliza ile namba nikai divert kwenda kwa mtu flani.. ikipigwa anapokea yeye haahhhaaa
 
hahahahha dah 🤣🤣 mzee ulitisha saNa aise
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom