Maimartha - Mwaka huu lazima niolewe

Mh. binadamu jamani... Mdada wa watu mmemchambua mpaka basi. Utadhani miongoni mwengu kuna malaika. Miongoni mwengu ni wangapi wameoa mabikira? Au nyie wenyewe mmetumikaje kabla ya kuoa, au kwa vile nyie ni wanaume sio issue? Vibaya hivyo... Awe ametumika vyovyote lakini lazima kuna mtu atamuona kama malkia atamfia na atakuwa haoni hasikii juu yake. Kama ambavyo wewe ulimfia mke wako na kuna mtu anamuona mkeo kama matapishi ya mlevi...
 
Back
Top Bottom