Mahojihano ya Kazi

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Vijana wawili katika harakati za kutafuta kazi, waliingia kwenye Mahojiano ya kazi, marafiki wawili hao walikuwa wakisaidiana mambo mbalimbali ya kimaisha walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ampatie mwenzie majibu.

Kwakuwa muda ulikuwa mdogo sana na watahiniwa walishagundua kuwa maswali yalikuwa yakijirudia basi yule jamaa aliyeingia wa kwanza alipotoka akaamua kumpatia mwenzie majibu tu.

Swali: when was Tanzania independence?

Jibu: it was suppose to be 1960 but it postponed to 1961 due to many reasons.

Swali: who brought independence?

Jibu: So many perticipated but it was mwalimu Nyerere and Kawawa who finalised it.

Swali:
It believes that in mars there are living things, do you believe it?

Jibu:
some say yes, some say no but scientists are still investigeting.

Sasa alipoingia yule kijana ambaye uwezo wake darasani haukuwa mzuri na kwakuwa alikuwa amekariri majibu tu ilikuwa ni patashika humo ndani ya chumba cha mtihani.

Swali: When were you born?

Jibua:
It was suppose to be 1960 but postponed to 1961.

Swali:
what!? Who is your father by the way.

Jibu: So many perticipated but it was mwalimu Nyerere and Kawawa who finalised it.

Swali: oh my god! Are you crazy?

Jibu:
Some say yes, some say no but scientists are still investigeting.
 
Hahahahaaaa, sijaenda ibadani kwasababu binafsi ila pia huyu housegirl kanitubua hapa, nikaaamua ningie hapa JF niburudike kidogo kweli, nimeburudika sana! Ina maana Mama alikua na Mahusiano na hao "Vigogo"! Mh haya nimecheka hadi basi
 
the second one was copying and pasting the 1st one's answers! it seems he knew nothing ooolalalala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom