Mahawara wanasana Guest house

Ndo muda mzuri huo ni kisingizio kizuri upo kazini na kazini nako unaaga mtoto anaumwa au umefiwa na mwenye nyumba
Alikuwa anatumia muda wa lunch..Mbona ipo sana hiyo ktk ofisi nyingi sana.Lunch time unakuwa muda wa ngono...
 
duh hii nchi zingine wanaita Magum kitu kama hicho nilikiona kwenye sinea za west

yaani ni hadi mke au mume aje kuwasamehe mara nyingi lazima mume mtu ndio kafanya hivyo.
 
hivi hii sayansi kama kweli ipo..............................kwanin inatumika kuadhibu na kudhuru tu...........................
kwanin isitumike kutibu vitu kama ukimwi na kufanya mengine mengi mazuri..............................
 
Mke na mme wamenasana jana wakifanya mapenzi guest house mjini Tunduma jana saa 8 mchana. Mahawahara hao kila mmoja ana ndoa yake juhudi zilifanyika kuwakimbiza hospt Mbozi mpaka sasa bado wameng'ang'aniana wenzetu wamassai wanasema imemesa mwenzie. Haijaeleweka nani aliyetega sumaku hiyo.Naendelea kufuatilia kila hatua nitawajuza.

Updates
=========================================
Bado wapo hospitali Vwawa madaktari wanashindwa kuwanasua maana aidha wakate uume wa mwanaume ambapo itamghalimu maisha yake kukata uke nao imeshindikana wanamtafuta aliye fanya sayansi hiyo.
Walikuwa wanaburudika kwa style ya kifo cha mende.
Walikuwa Guest moja inaitwa Kampala ipo karibu na Tanesco pale Tunduma

da utamu huo wanaruhusu watu kushuhudia aisee..he he he he
 
Alikuwa anatumia muda wa lunch..Mbona ipo sana hiyo ktk ofisi nyingi sana.Lunch time unakuwa muda wa ngono...

sasa muda wa lunch si muda muafaka mwenye mume anajua mume yupo kazini na mwenye mke anajua mke yupo kazini pia
 
Kazi ipo hapo mara aliyefanya hvyo awe bubu ghafula na kiziwi hawawezi kuwasiliana nae hadi ajifunze ishara mbona watasoma,
 
Back
Top Bottom