Mahawara wanasana Guest house

Kama hakuna updates siku kwa siku mpaka mwisho wa tukio ........stori hii itakuwa ni porojo.

By the way, ....mpaka sasa umeshindwa kutuwekea hata kivuli chao?
 
Dog mating:

The tie is a natural phenomena of dog breeding in which the bulbus gland of male penis swells inside the bitch's vagina. The dogs are virtually locked together for 15 to 20 minutes during which time ejeculation takes place. By extension chanzo cha mshikamano wa binadamu katika mapenzi labda uvimbe siyo kawaida wa uume.GDAY
 
Bullcrap, hakuna kitu kama hicho. Ndo maana waafrika hatuendelei na mi imani imani isiyokuwa na kichwa wala ubongo.

kwahiyo una shauri uchakachuzi uendelee?ndio maana mnakufa na ukimwi,huamini hadi utomase?kama una run ni mke wa mtu acha maramoja!nenda mbeya ukajionee.
 
Anayemjua mume wa huyo aliyenaswa acheki chini ya uvungu atakuta jambia limewekwa kwenye ala yake achomoe then watanasuka hilo ni tego la sie wazigua!
 
kila mtu huvuna anachopanda, akipanda mema atavuna mema akipanda mabaya kama kutembea na mke/mme wa mtu huvuna ubaya

Furaha inayoambatana na uovu haidumu
 
Ndo pale matendo watu wafanyayo mafichoni yanapokuwa adharani. Wamedhalilisha wenza wao, wamedhalilisha watoto wao, na koo zao zote kwa ujumla.

Imagine unaambiwa dada yako au kaka yako kanaswa. Kha; mnaweza kuukana undugu.
:flypig: Maana ni ngumu eti sijuhi mwangaike kutafuta mganga sijuhi mchungaji kuwanasua; walahi nakukana.


kila mtu huvuna anachopanda, akipanda mema atavuna mema akipanda mabaya kama kutembea na mke/mme wa mtu huvuna ubaya

Furaha inayoambatana na uovu haidumu
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom