Mahawara wanasana Guest house

hiyo dawa safi sana anayeihitaji awasiliane na mimi nitampatia ni rahisi kuitumia hainamasharti. kwa kifupi tafuta kisu kipya na ala yake ndio unitafute
 
Hamnaga kitu kama hicho, kama kweli wamenatana kuna 'technical issue' mahali ila sio hizo nguvu za giza.
 
Huu utakuwa uongo tu, mganga wa namna hiyo angekuwepo mbona angeshatajirika siku nyiiiiiiingi maana angekimbia wateja mwenyewe
 
Hali ya hewa ya Tunduma ruksa mume wa huyo mke ndo kaweka tego hilo akitoa kisu kwenye ala yake wataachiana.
 
Mkuu fanya harakati upate contacts za mweza wa huyo aliyemtega mwenzake ili nasisi tumtafute huyo mganga atuzindikia na nimtafutie dili maana huku wake za watu navyowaona wanavyofanya ni soooo!!
Poleni wenye uoga wa kutafuniwa wake zenu. Mi nafikiliaga akifanya hivyo lazima amekuchoka, hata ukibembeleza na kuhonga jua unapoteza mda wako. Hapo mi nakuacha faster kama genye nyingi naanzisha upya kwingine
 
Back
Top Bottom