PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
Kesi ya kupinga ubunge wa Godbless lema inaendelea kunguruma mahakama kuu kanda ya arusha.baada ya mahakama kutupilia mbali pingamizi za awali zilizo wekwa na mawakili wa utetezi. Mwendesha mashtaka alisema mawakili wa utetezi walijingiza kwenye mtego kwa kuacha kulete pingamizi kuhusu makosa ya kisheria dhidi ya hati ya mashtaka,na kujikita kataka kutafsiri na kurekebisha madai yaliyomo kwenye hati ya mashaka,kazi ambayo haiwezi kufanywa na mahakama wala utetezi.
Na kusema mahakama haiwezi kushughulika na ukweli wa maneno yaliyo tamkwa,bali mahakama itaangalia iwapo manena hayo yalitamkwa na iwao yanastahili kutamkwa.
CHANZO:GAZETI LA MWANANCHI
Na kusema mahakama haiwezi kushughulika na ukweli wa maneno yaliyo tamkwa,bali mahakama itaangalia iwapo manena hayo yalitamkwa na iwao yanastahili kutamkwa.
CHANZO:GAZETI LA MWANANCHI