Mahakama:Lema anakesi ya kujibu

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Kesi ya kupinga ubunge wa Godbless lema inaendelea kunguruma mahakama kuu kanda ya arusha.baada ya mahakama kutupilia mbali pingamizi za awali zilizo wekwa na mawakili wa utetezi. Mwendesha mashtaka alisema mawakili wa utetezi walijingiza kwenye mtego kwa kuacha kulete pingamizi kuhusu makosa ya kisheria dhidi ya hati ya mashtaka,na kujikita kataka kutafsiri na kurekebisha madai yaliyomo kwenye hati ya mashaka,kazi ambayo haiwezi kufanywa na mahakama wala utetezi.

Na kusema mahakama haiwezi kushughulika na ukweli wa maneno yaliyo tamkwa,bali mahakama itaangalia iwapo manena hayo yalitamkwa na iwao yanastahili kutamkwa.
CHANZO:GAZETI LA MWANANCHI
 
Mahakama zetu haziwezi kutenda haki hata siku moja linapojiri swala la kisiasa,yupo Jaji mmoja mstaafu(simkumbuki jina) alishawahi kukiri hadharani kwamba katika kipindi cha utumishi wake asichokisahau ni pale alipolazimishwa kutoa hukumu.
 
Mkuu kama hauna cha kupost usiwe unakimbilia kuleta mada kabla ya kuitafakari!hapo kesi ya kujibu iko wapi?
 
Mahakama zetu haziwezi kutenda haki hata siku moja linapojiri swala la kisiasa,yupo Jaji mmoja mstaafu(simkumbuki jina) alishawahi kukiri hadharani kwamba katika kipindi cha utumishi wake asichokisahau ni pale alipolazimishwa kutoa hukumu.

ni Augustino Ramadhani, aliye staafu mwaka jana, na juzi alipewa tuzo na Merkani kwa kazi nzuri!!
 
Kesi ya kupinga ubunge wa godbless lema inaendelea kuguruma mahakama kuu kanda ya arusha.baada ya mahakama kutupilia mbali pingamizi za awali zilizo wekwa na mawakili wa utetezi.mwendesha mashtaka
alisema mawakili wa utetezi walijingiza kwenye mtego kwa kuacha kulete pingamizi kuhusu makosa ya kisheria dhidi ya hati ya mashtaka,na kujikita kataka kutafsiri na kurekebisha madai yaliyomo kwenye hati ya mashaka,kazi ambayo haiwezi kufanywa na mahakama wala utetezi.na kusema mahakama haiwezi kushughulika na ukweli wa maneno yaliyo tamkwa,bali mahakama itaangalia iwapo manena hayo yalitamkwa na iwao yanastahili kutamkwa.
CHANZO:GAZETI LA MWANANCHI
Nimesoma Heading nikajua kuwa unaripoti kuwa Mahakama imetoa Ruling hiyo kuwa kuna kesi ya kujibu. Anyway, pengine hujui taratibu za kimahakama.
 
Kesi ya kupinga ubunge wa godbless lema inaendelea kuguruma mahakama kuu kanda ya arusha.baada ya mahakama kutupilia mbali pingamizi za awali zilizo wekwa na mawakili wa utetezi.mwendesha mashtaka
alisema mawakili wa utetezi walijingiza kwenye mtego kwa kuacha kulete pingamizi kuhusu makosa ya kisheria dhidi ya hati ya mashtaka,na kujikita kataka kutafsiri na kurekebisha madai yaliyomo kwenye hati ya mashaka,kazi ambayo haiwezi kufanywa na mahakama wala utetezi.na kusema mahakama haiwezi kushughulika na ukweli wa maneno yaliyo tamkwa,bali mahakama itaangalia iwapo manena hayo yalitamkwa na iwao yanastahili kutamkwa.
CHANZO:GAZETI LA MWANANCHI

Ngoja apambane na kesi, yeye alifikiri kugombea ubunge unakurupuka tu kama unaiba mwizi.
 
ndugu yangu nimeweka chanzo tusiwe wavivu kiasi hicho.

Hilo gazeti unalolisema ndio chanzo chako halijaandika Heading hiyo yako, na wala content za habari ya kesi ya Lema hazisemi kuwa Mahakama imemkuta Lema na kesi ya kujibu. Watu wengine mlishazoea kuchakachua kila kitu, muwage mnashirikisha basi na akili zenu japo kidogo. Halafu ukionyeshwa ulipochemsha unamuona mkosoaji wako mbaya. Anyway, huwezi kuwa hujalewa.
 
Kesi ya kupinga ubunge wa godbless lema inaendelea kuguruma mahakama kuu kanda ya arusha.baada ya mahakama kutupilia mbali pingamizi za awali zilizo wekwa na mawakili wa utetezi.mwendesha mashtaka
alisema mawakili wa utetezi walijingiza kwenye mtego kwa kuacha kulete pingamizi kuhusu makosa ya kisheria dhidi ya hati ya mashtaka,na kujikita kataka kutafsiri na kurekebisha madai yaliyomo kwenye hati ya mashaka,kazi ambayo haiwezi kufanywa na mahakama wala utetezi.na kusema mahakama haiwezi kushughulika na ukweli wa maneno yaliyo tamkwa,bali mahakama itaangalia iwapo manena hayo yalitamkwa na iwao yanastahili kutamkwa.
CHANZO:GAZETI LA MWANANCHI

Vipi hawajamfungulia kesi ya wizi wa magari au wanasubiri hii iishe kwanza?
 
Yaani unasoma habari kisha unanukuu vifungu / mstari mmoja mmoja na kuleta hapa kama hoja.

Weka habari nzima tukuelewe siyo vifungu vifungu.

MIZAMWA
INANIUMA SAANA!!!!!
 
siko tayari kupaka rangi ujinga,kama navyo taka wewe.

Ujinga unao wewe uliyeandika Lema ana kesi ya kujibu,hiyo ruling iko wapi,maelezo yako ni kua mahakama imetupilia mbali pingamizi za awali baada ya muendesha mashtaka kusema kua mawakili wa utetezi walijiingiza kwy mtego,hakuna content iliyo onyesha kua jaji ameamuru kua Lema ana kesi ya kujibu!hapa tunaeleweshana na si kutukanana!siko na utamaduni wa kutukana japo matusi kila mtu anayajua
 
Kesi ya kupinga ubunge wa godbless lema inaendelea kuguruma mahakama kuu kanda ya arusha.baada ya mahakama kutupilia mbali pingamizi za awali zilizo wekwa na mawakili wa utetezi.mwendesha mashtaka
alisema mawakili wa utetezi walijingiza kwenye mtego kwa kuacha kulete pingamizi kuhusu makosa ya kisheria dhidi ya hati ya mashtaka,na kujikita kataka kutafsiri na kurekebisha madai yaliyomo kwenye hati ya mashaka,kazi ambayo haiwezi kufanywa na mahakama wala utetezi.na kusema mahakama haiwezi kushughulika na ukweli wa maneno yaliyo tamkwa,bali mahakama itaangalia iwapo manena hayo yalitamkwa na iwao yanastahili kutamkwa.
CHANZO:GAZETI LA MWANANCHI

bla bla tu hizi
 
Heading na ulichopost vinakinzana....Lema ana kesi ya kujibu..ielezee sasa kwenye post yako tujue lema ana kesi gani??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom