Kesi ya kumvua Uwakili Boniface Mwabukusi kuanza leo, Jopo lake la Utetezi linatisha

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,807
218,456
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba ule mpango haramu wa serikali ya Tanzania, wa kuwatisha watetezi wa rasilimali za Nchi unaanza rasmi leo, ambako kesi ya kumvua Uwakili Boniface Kajunjumele Mwabukusi ambaye kwa kabila ni Mnyakyusa, inaendelea muda huu kwenye Mahakama Kuu kitengo cha Ardhi.

Jambo la kufurahisha ni kundi kubwa la Mawakili waliojitokeza kumtetea wakiongozwa na Mkongwe Mpale Mpoki.

Screenshot_2023-11-20-12-13-32-1.png
Screenshot_2023-11-20-12-13-26-1.png
Screenshot_2023-11-20-12-13-22-1.png

#UPDATE: FRIENDS OF JUSTICE
...
Baadhi ya Mawakili Wa Utetezi Kumtetea Wakili Msomi @Mwabuk2Boniface Katika Shauri la KUONDOA Uwakili wake wamefika Mahakama Kuu, Dar es salaam, Kanda ya Ardhi ambapo Kesi yake itaanza Kusikilizwa Leo.
...
Jopo la Mawakili Tisa(9) Wakiongozwa na Wakili Msomi Mpale Mpoki wameshaingia Chamber Kwa ajili ya Mchuano wa Kisheria dhidi ya Mashtaka ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali yenye lengo la Kumuondolea Uwakili, Msomi @boniface_a_k_mwabukusi
...
Kuweka Rekodi sawa kuhusu Mawakili waliofika Mpaka sasa ni: Wakili: Mpale Mpoki @mpalempoki Mwenyewe, Wakili, Dr. Rugemeleza Nshala akiwakilisha Chama cha WANASHERIA @tanganyikalawsociety, Wakili Philip Mwakilima, Wakili @chengula.emmanuel , Wakili @titomagoti, Wakili Edson Kilato, Wakili Dickson Matata na wengine Kuungana na Jopo soon
...
Ikumbukwe hili ni Tishio lingine dhidi ya Mawakili Nchini Tanzania, Kuna majaribio kadhaa yametokea na yanaendelea kutokea dhidi ya Mawakili wanaoonekana wanakosoa Serikali. Ni Muhimu kwa Chama cha WANASHERIA Tanzania Kuanza hatua za kujihami na kuhami Mawakili wake maana Utamaduni huu hauna Afya katika Taaluma ya Sheria
...
Let's show solidarity against Injustices na ni Rai yangu kwa Mawakili kuamka na Kutengeneza standards dhidi ya matishio aina hii✍️
 
Huyu mwanasheria Mkuu naye analipwa kwa kodi za wanannchi mambo mangapi yanahitaji msaada wa kisheria yapo tuu sheria kandamizi zipo nyingi anashindwa kupeleka msawada wa marekebisho bungen anakuja kutumika kisiasa
 
Absolutely.

Kwa akili za watu weusi (watawala) wa ki-Afrika jinsi zilivyo, haiwezekani kabisa nchi hizi kuwa na siasa safi au demokrasia bila ya kulazimishana kwa mtutu wa bunduki.

Ndio maana Mamlaka za Ujasusi za nchi ya Ufaransa wanaamini kwamba "Only Gun Politics is the Suitable Mode of doing Politics and Governance for Black Africans", na hiyo ndio sera yao ya utawala barani Afrika.
Huwa siamini ktk demokrasia bali katika mapinduzi ya kijanibsb
 
Katika vitu ambavyo vinatesa akili yangu ni wazungu kutupa uhuru waafrica mapema sana, kusema ukweli ni kwamba tumeshindwa kabisa kujioongoza

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as white people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Back
Top Bottom