Mzee wa Safety
Member
- Mar 22, 2011
- 35
- 9
Hata ikiwekwa break hatudanganyiki chapa kazi kwa haki hata kipofu japo haoni anasikia.Tunatambua utendaji wako.
Kubakia ccm ndicho kinachokutia doa...
unataka aende wapi?
Huyu hana lolote kashanyamazishwa mdomo,,hakuna lolote atakalo fanya,kaangalieni accounti yake imejazwa fedha ili anyamaze kimya,,,,Hata ikiwekwa break hatudanganyiki chapa kazi kwa haki hata kipofu japo haoni anasikia.Tunatambua utendaji wako.
mwenzako mrema alijiuzuru, jiuzuru basi na wewe maana JK amekunyoa manyoya na sasa hvi uko wazi upepo unakupuliza.Kama kweli ulikuwa unatekeleza sheria ulizoapa kuzitekeleza hauna cha ziada zaidi ya kujiuzuru kwa sababu ukibaki utaanza kuvunja sheria.Azima ushupavu wa jose mourinho alipoingiliwa kazi yake na abromovich na the special one hakuwa tayari kuingiliwa kazi yake.Kwa sasa nani utamkemea kwenye wizara yako si ndo mambo ya kuambiwa uache ubabe.Mi ni mwasailolojia nafahau jinsi gani kisaikolojia huyu jamaa alivyoumia.Ningekuwa mimi ningeacha hiyo kazi.No one who is greater than a government!Nimeipenda hiyo sentensi!
Aje nyumbani kwako. How about that?