Imenishangaza Katibu Mwenezi Chama Kikubwa Ndugu Paul Makonda hana Agenda; Anajitwangia tu

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,151
20,320
Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.

Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.

Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani ya chama hicho wamekosoa mienendo ya kile kinachoitwa uenezi.

Tulitarajia Awe na Agenda zinazogusa Maslahi ya Wananchi kama vile

1. Hali ya Uchumi kudorora
2. Utitiri wa kodi na kupanda bei za bidhaa
3. Maendeleo ya huduma za kijamii hasa Maji, Umeme na Afya
4. Elimu bora na maIngira bora ya watendaji hasa walimu.

5. Utawala wa Haki, Sheria na kuzingatia Katiba.

Badala yake akikuta daraja limeanguka analivaa.....akikuta barabara imejaa vumbi analo.

Akikuta Eng wa Nkoa kagombana na mke wake basi yeye anakuwa msuluhishi.

Mimi naona kama Katibu Mwenezi ame loose focus na kukosa Mwelekeo.

Kama Chama kingekuwa kinategemea Kura kurudi madarakani basi huu ndio Ungekuwa Mwisho wa Uhai wa ccm.
 
Leo sijui atasuluhisha akina nani
 
Anadeal na matukio ya kuhadaa wananchi, na hakubali maswali ya msingi. Huwezi kuona kulizwa kuhusu kero ya umeme, Wala kupanda kwa gharama za maisha. Hiyo inamaanisha Bado wanacheza na siasa za kiki na hadaa, huku wakiandaa nyomi fake linalopatikana kwa nguvu ya Dola. Fuatilia vizuri hata chawa humu ndani wanajikita kwenye nyomi na sio agenda, maana wanajua hakuna agenda Bali ni kijitekenya na kucheka wenyewe.

Lucas mwashambwa ChoiceVariable
 
Jiwe zuri sanaaa gizani walahi kama chamani hakuna wenye akili wala busara watamuacha apuyangee tuuu....hakimubyeye mwanasheria yy...msuluhishi yeye..
.mtuhumiwa yeye khaaaa kichekeahoo
 
Hahaaaa
 
Anadeal na matukio ya kuhadaa wananchi, na hakubali maswali ya msingi. Huwezi kuona kulizwa kuhusu kero ya umeme, Wala kupanda kwa gharama za maisha. Hiyo inamaanisha Bado wanacheza na siasa za kiki na hadaa, huku wakiandaa nyomi fake linalopatikana kwa nguvu ya Dola. Fuatilia vizuri hata chawa humu ndani wanajikita kwenye nyomi na sio agenda, maana wanajua hakuna agenda Bali ni kijitekenya na kucheka wenyewe.

Lucas mwashambwa ChoiceVariable
Hahahaaa.....wauliza maswali wa Mchongo
 
Jamaa anapambana sana anasikiliza kero za wananch jambo ambalo hata rais hafanyi anapita nyayo za magu mule mule
Magu ndio bingwa wa maigizo ya hivyo, ndio maana ilipofika wakati wa uchaguzi ikabidi apore uchaguzi, maana alijua matokeo ya kweli itakuwa fedheha kwake na chama chake. Yaani utembee na msururu wa magari yote hayo ya serekali kwenda kuwa msulihishi wa ndoa! Angetatua changamoto za umeme, maji, afya, gharama za maisha hapo angalau. Lakini hayo yote yanafanyika kwa mwendo wa kinyonga.
 
Unaelewa ziara ya Mheshimiwa mwamba mwenyewe na Jabali wa siasa na jasiri kusini mwa jangwa la sahara Mheshimiwa Makonda imelenga nini? Imedhamilia nini?

Ngoja nikujibu kwa ufupi tu kulingana na ufupi wa akili yako.

Ziara ya Mheshimiwa Makonda ina lengo kwanza la kukagua utekelezaji wa ilani ya chama.kwa hiyo chama kina angalia namna miradi mbalimbali inayotekelezwa,kasi yke katika utekelezaji wa miradi pamoja na kuangalia uwajibikaji wa viongozi na watendaji wa serikali katika utekelezaji wa majukumu yao.

Pili ni kusikiliza na kutatua papo kwa papo kero za wananchi. Kwa hiyo ziara hiyo ya chama inakwenda kwa wananchi kuwasikiliza kero zao zote,ikiwa ni pamoja na namna wanavyohudumiwa na serikali yao, changamoto zao zinavyotatuliwa.ndio maana unaona namna ambavyo chama kimeendelea kuwapokea watu wa aina mbalimbali wenye kero na kutatua kero zao lakini katika mchakato huo chama kinatoa maagizo kwa viongozi wa serikali mikoani kuanzisha kliniki ya kupokea na kusikiliza kero za wananchi pamoja na kutatua ,ambapo agizo hilo la chama limetekelezwa haraka sana na kwa sasa kliniki hizo zimeshaanza kazi mikoa yote hapa nchini.

Tatu ziara hiyo imekuwa katika kuangalia uhai wa chama,l wa namna kinavyokubalika, kupendwa,kuungwa mkono na nguvu yake .ambapo chama kimeona kuwa bado kina nguvu kubwa sana ya ushawishi kwa wananchi,bado kinaaminika,bado kinaungwa mkono,bado kinapendwa sana na mamilioni ya watanzania na ndio maana watu wanamiminika na kufurika kwa wingi sana katika mikutano ya CCM inayoongozwa na Mheshimiwa Makonda katika ziara hiyo ya kihistoria hapa nchini.

Kwahiyo usikurupuke katika kuandika vitu usivyo vielewa.ni bora ingetuuliza wenye chama chetu ili tukupatie majibu.
 
We na chama chako wenye agenda,Mwenezi wenu anajishughulisha na nini? na dhani kila Taasisi i-focus na mambo yake
 
Unaelewa ziara ya Mheshimiwa mwamba mwenyewe na Jabali wa siasa na jasiri kusini mwa jangwa la sahara Mheshimiwa Makonda imelenga nini? Imedhamilia nini?

Ngoja nikujibu kwa ufupi tu kulingana na ufupi wa akili yako.

Ziara ya Mheshimiwa Makonda ina lengo kwanza la kukagua utekelezaji wa ilani ya chama.kwa hiyo chama kina angalia namna miradi mbalimbali inayotekelezwa,kasi yke katika utekelezaji wa miradi pamoja na kuangalia uwajibikaji wa viongozi na watendaji wa serikali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Ujasiri unaujua wewe mnapokuwa faragha. Unampa sifa kuliko hata mkewe wa ndoa,kweli michepuko na nguvu kuliko wenye mali.
 
Makonda ni zero brain ila hizo agenda na taratibu zenu zimewachosha wananchi wanaona bora waende kwa zero brain Makonda kuliko kwenda mahakamani.

Makonda kaivua nguo sana mahakama, jaji mkuu kama ana akili inabidi ajitafakari.
 
Magu ndio bingwa wa maigizo ya hivyo, ndio maana ilipofika wakati wa uchaguzi itabidi apore uchaguzi, maana alijua matokeo ya kweli itakuwa fedheha kwake na chama chake. Yaani utembee na msururu wa magari yote hayo ya serekali kwenda kuwa msulihishi wa ndoa. Angetatua changamoto za umeme, maji, afya, gharama za maisha hapo angalau. Lakini hayo yote yanafanyika kwa mwendo wa kinyonga.
Sio kazi yake hiyo yaan katibu mwenezi aje kutatua changamoto ya umeme waziri yuko wapi? Naibu wzir yuko wapi?
 
Back
Top Bottom