Magufuli tumeona na tumesikia

Wewe ni mchapa kazi, tunajua na tunakutakia kila la kheri. TUko pamoja na tunakuunga mkono in prayers.
 
Bosi wako anatumia sifa ya utendaji wako kujipatia buy in ya kisiasa kwa wananchi.
Tumeliona hilo, usikate tamaa. Yakikushinda njoo kwetu.
 
wale wenye akili wanakupa pole na wako nyuma yako, wavunja sheria wanajiliwaza
 
Si lazima aingie chama kingine akitoka ccm,tunamsubiria kuwa mgombea binafsi 2015
 
kizunguzungu naona hii ni taharuki tuu kama picha ya camila, wazee wanatuzingua, poa bana magufuli na wewe toa tamko fanya mgomo baridi. waambie wote waliocholewa x - bomoa wapake rangi.
 
Shida ni kuwa viongozi wa TZ wanashindwa kufanya maamuzi magumu kwa ajili ya heshima zao na wanayoyaamini. Magufuli please can u be the lamb of Tanzanian on this? Onesha uwajibikaji wako kwa kujiweka pembeni na serikali dhalimu.
 
Hata ikiwekwa break hatudanganyiki chapa kazi kwa haki hata kipofu japo haoni anasikia.Tunatambua utendaji wako.
Huyu hana lolote kashanyamazishwa mdomo,,hakuna lolote atakalo fanya,kaangalieni accounti yake imejazwa fedha ili anyamaze kimya,,,,

Ikiwa ccm hamujaitoa madarani hakuna lolote hapa nchini
 
mwenzako mrema alijiuzuru, jiuzuru basi na wewe maana JK amekunyoa manyoya na sasa hvi uko wazi upepo unakupuliza.Kama kweli ulikuwa unatekeleza sheria ulizoapa kuzitekeleza hauna cha ziada zaidi ya kujiuzuru kwa sababu ukibaki utaanza kuvunja sheria.Azima ushupavu wa jose mourinho alipoingiliwa kazi yake na abromovich na the special one hakuwa tayari kuingiliwa kazi yake.Kwa sasa nani utamkemea kwenye wizara yako si ndo mambo ya kuambiwa uache ubabe.Mi ni mwasailolojia nafahau jinsi gani kisaikolojia huyu jamaa alivyoumia.Ningekuwa mimi ningeacha hiyo kazi.No one who is greater than a government!
 
Nimeipenda hiyo sentensi!
 
Angekuwa Mwakyembe anaambiwa hivyo angemjibu haraka sana kwa nyaraka, sio kuonyesha ukimya namna hii, Mwakwembe ni mpambanaji aangalii uso wa nyani waharibifu yeye ni kuwatoa hata kwa kujitoa mhanga, lakini ni tofauti, JPM huwa ni mpole sana kwa wakuu wake hata kama hawako sahih kama sakata hili, yeye utii kila jambo, ndio maada Willy alipomwambia hauze nyumba zote za serikali hakupinga kauza zote hata JK aliziwa yeye akiwa pale kwake USINO Drive in, ndio maana Marais wa Zamani wote hawako kwenye nyumba za serikali, angalia Mzee Mwinyi, Msasani, Nyerere Msasani hata mawaziri wakuu Kama Warioba na wengineo, hivyo Magufuli hwa na hurika ya Uoga kwa wakuu wake, sasa hivyi haitwi tena Askari wa Mwavuli bali ni askari Kanzu. hata hivyo endelea kusikia kuu wetu amgalau utumalizie tumiladi ulitotuanzaisha hsa barabara ya kwenda kwa Mkwere, ambapo nimeona X nyingi kwenye nguzo mpya za TANESCo sijui na hawa Tanesco hamnazo yaani na wenyewe wanashindwa jua mipaka yao ya hifadhi??? au ndio huolela nao waje walalamike na XXXXX kuwa hawakujua mwisho wa Barabara
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom