Magufuli alia kwa wananchi kuikataa CCM aomba msaada kwa maofisa wa CCM

Sijasikia CCM mwaka wakitaja neno 'ushindi wa kishindo' au 'ushindi wa sunami', ama kweli hali ni mbaya kwao!
 
I PERSONAL BELIEVE IN MAGUFURI,
but its PARTY!
BAHARI YA WACHAFU NA WENYE WINGI WA HILA

Na sio wewe tu mkuu ila kwa watanzania WENGI WASIO NA CHAMA LAKINI WATAKAOPIGA KURA "HIO NDO ITAKUWA SABABU YA WAO KUMTOSA MAGUFULI MAANA HAWANA KABISA IMANI TENA NA CCM"
 
Baadae tusiseme tumeibiwa...

Haiwezekati CCM ikose wapiga kura 15 kila tawi...

Mkuu tafakari vizuri tatizo sio wapiga kura 15 kwa kila tawi la CCM lakini ishu ni "KATI YA HAO WAPIGA KURA 15...10 NI WA LOWASSA JAPO WAPO CCM NA WALIOBAKI WATANO NDO WA MAGUFULI"
 
Huo hauwezi kuwa mfano kwa sababu matawi mengi yana wanachama wakongwe na baadhi ya wanachama wameshakata tamaa na chama.Wengine ni team Lowassa na watu wengi waliofikisha umri wa kupiga kura kipindi hiki hawajajiunga na hicho chama.Pia siyo kila tawi lina wanachama wa uhakika kwa sababu matawi mengi hufunguliwa kwa malengo maalumu likiwemo la kuvuna pesa kutoka kwa wagombea kwa hiyo siyo kila tawi lina kura za uhakika.Lakini usisahau kuwa watu wengi wasiokuwa na vyama wapo upande wa pili na ndio idadi kubwa ya wapiga kura so endelea kujipa moyo na matawi yako tupu yasiyokuwa na majani,Mabadilikoooooooo?SUPER SUB.SUPER SUB?Lowassaaaaaaaaaaaaaaaa.

Safiii,WATANZANIA TUAMKE TUSIKUBALI KUMPA MTU KURA KWA KUMUONEA HURUMA BALI TUMCHAGUE NA KUMPA MTU KURA ZETU KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU #MAMATANZANIA

mabadilikoOOOOOOOOO....LOWASSAAAAAAAAAA!!!

#LOWASSAFORPRESIDENCY2015-2020.
 
Last edited by a moderator:
Amepungua,amekata tamaa na ameungua kwa mkaa uliozimwa,
Masikini mhh naona jumuia ya Wazazi imejitolea kumfariji
 
DuppyConqueror umepita huku umuone Magufuli anavyolia? Jana niliona huo mkutano walivyokuwa wanajifariji.

Uliona the way kamwimbo kalivyokosa tune? The same wimbo uliimbwa kwa nguvu na ari siku walipokata jina la Lowassa, lkn jana wameimba as if waungwana wameshikiwa bunduki wamkufuru muumba wao kwa sauti.......huruma kwa kweli.
 
Mkuu...JP ameongea kama nahodha wa MV Kiboko ya mafisadi...Lazima mtafute mashimo na maandaki ya kujificha
Hii kiboko mlikuwa nayo siku zote zaidi ya miaka 20 kama ni kiboko kweli mlisubiri nini kukileta miaka kumi au hata kumi na tano iliyopita hadi nchi imezama kwenye tope? mbona nasikia huko kwenye mizani tu rushwa imejaa? sasa kaidara chini yake kananuka rushwa halafu bado ni kiboko? msifikiri watanzania wa leo ni malofa au samaki wa kuvuliwa kwa nyavu zile zile na ndoano zile zile miaka nenda rudi. Mmemtoa Lowassa kafara ili mubebe agenda ya ufisdi mnaona ndio mtaaminika; mbona nyenzo ya kupambana na ufisadi ambayo ni katiba ya wananchi mmeikataa?
 
Asijali, umri unamruhusu. Akiwa mwenyekiti akijenge chama na kukisafisha then time ijayo anaweza kuukwaa!!! Who knows??

Alafu ujue nini mkuu magufuli asiposhinda uchaguzi huu na akibaki kuwa mwenyekiti wa CCM ndo atakimalizia chama kabisa maana hajawai kushika uongozi wowote ule CCM yeye ni mwanachama wa kawaida tu NA NDIO MAANA JK PALE D.JUBILEE ALISEMA ATAENDELEA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA HADI 2017 ATA KAMA MAGUFULI AKITOKEA KASHINDA UCHAGUZI HUU...WEWE UNAFIKIRI KWANINI???
 
Alafu ujue nini mkuu magufuli asiposhinda uchaguzi huu na akibaki kuwa mwenyekiti wa CCM ndo atakimalizia chama kabisa maana hajawai kushika uongozi wowote ule CCM yeye ni mwanachama wa kawaida tu NA NDIO MAANA JK PALE D.JUBILEE ALISEMA ATAENDELEA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA HADI 2017 ATA KAMA MAGUFULI AKITOKEA KASHINDA UCHAGUZI HUU...WEWE UNAFIKIRI KWANINI???

Dah! Hapo hali itakuwa tete kama ndio hivyo
 
DuppyConqueror umepita huku umuone Magufuli anavyolia? Jana niliona huo mkutano walivyokuwa wanajifariji.

Ukiangalia video ya youtube na kilichoandikwa na muanzisha mada, ni irrelevance - haviendani, labda mtu kaamua tu kuandika kwa kujisikia.
 
Last edited by a moderator:
Mkimteua huku, mimi nahama. Wakimteua kule naenda kumwunga mkono. Mwaka huu wengi wameacha kutafakari mambo kwa undani, wamechochewa hasira kwa manufaa ya wapiga dili. Wengi ni vijana, hata wakionywa na wazee wanaendelea kuziba masikio, wanafikiri "Majuto ni mjukuu" ni kijana mwema! CHUKUA TAHADHARI.
 
Aisee sio siri tena huyu magufuli katoswa...nilikuwa ninaongea na balozi wa ccm kasema lolote linaweza kutokea, ccm imekataliwa mwaka huu. Akahitimisha na Tuombe Mungu...
 
Tatizo ni ukosefu wa pesa ndio unasababisha barabara hiyo isijengwe. Ila Feasibility study (ESIA), Preliminary & Final Design and Preparation of Cost Estimates ya barabara: Mikumi - Kidatu (35km) na Kidatu - Ifakara (70km) zimekamilika!

CAG anaichunguza huyo wizara inasemekana nae kapiga dili kwa karibu sana huyo ndie atakuwa wa kwanza kwenda kizimbani chini ya utawala wa ukawa lazima ajamba cheche
 
Back
Top Bottom