Kuikataa CCM, ni njia mojawapo ya kuelimika na kukataa kuwa furusa ya wana ccm wachache!

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,940
4,122
Na hapa ifahamike kuwa, Kuwa Chama chochote cha upinzani, ni njia nzuri ya kukataa ujinga na kuwa sehemu ya furusa ya maccm

Ujinga ni pamoja na kukubaliana mambo yenye kinyume na ukweli

Hii njia, CCM wanaitumia sana! Utakuta kuna kamtu kamoja tu ambako kameifanya ccm kama ndio kenyewe ni baba/mama na wengine wote ni watoto

Kenyewe kakisema, kila mtu aseme ndiyo hata kama si kweli na hata kama mnaona kabisa kanawapeleka motoni, sharti mseme ndiyo na mtasema ndiyo

Mmelazimisha weee, mpaka mmekubaliana kwamba, awamu iliyokuwa ya 5 eti iitwe ya 6? Kwa uchaguzi upi na kwa kura za nani??

Hii inatupa picha kwamba, kuna nguvu ya mwenye furusa kuendelea kuwafanya furusa wote walioko ccm,

Hii yote, lengo ni kumfanya yule aliyekaribu na huyo mwenye kuwafanya furusa, aendelee kula bata atakavyo,

Ni kweki kabisa uchaguzi wa mgombea ndani ya ccm uwe 2030, kwa njia zipi na kwa ukweli upi? Embu tuzungume kihoja hapa! Inamaana awamu za kiuongozi ndani ya ccm upande wa urais umebadirika ghafula na kuwa miaka 15?? Hapa sijaelewa, zinatumika mbinu zipi hizi?

CCM, jengeni hoja kwenye hili labda nitaelewa

Wenye akili ccm mnafanya nini kusema kwamba, utawala wa awamu ya 5 ndio huu unaoendelea na unapaswa umalizike mwaka ujao 2025?

Wote huko mmekubali kuwa furusa?

Ni uchaguzi upi ulipita hapo baada ya kifo cha Magufuli kiasi tuite tumeingia awamu ya sita?

Kuna sheria zinasema hivyo? ChoiceVariable . Unamajibu yake juu ya haya maswali ila tu na wewe ni furusa ya maccm hautakubali

Ona hili la Escrow! Kuna kamoja tu kalisema hizo fedha sio za wananchi, wenginewe wote wakawa, oyoh oyoh oyoh oyoh,

Kuna watu CCM wamekuwa ni furusa ya wana ccm wenzao hata kama wanazo akili kuwazidi!

Kuna watu wanavipaji vya kuongoza na wanayo nia ya kugombea 2025, lakini yule mwenye kuwafanya furusa hataki, na fomu ya Urais itaandaliwa moja

Ukiamua kuikataa ccm hakuna dhambi, acha ofisi zao wakabidhi kila kitu, kataa kuwa furusa za wachache

2024 kataa kuwa furusa ya ccm, waachie chama
 
Na hapa ifahamike kuwa, Kuwa Chama chochote cha upinzani, ni njia nzuri ya kukataa ujinga na kuwa sehemu ya furusa ya maccm

Ujinga ni pamoja na kukubaliana mambo yenye kinyume na ukweli

Hii njia, CCM wanaitumia sana! Utakuta kuna kamtu kamoja tu ambako kameifanya ccm kama ndio kenyewe ni baba/mama na wengine wote ni watoto

Kenyewe kakisema, kila mtu aseme ndiyo hata kama si kweli na hata kama mnaona kabisa kanawapeleka motoni, sharti mseme ndiyo na mtasema ndiyo

Mmelazimisha weee, mpaka mmekubaliana kwamba, awamu iliyokuwa ya 5 eti iitwe ya 6? Kwa uchaguzi upi na kwa kura za nani??

Hii inatupa picha kwamba, kuna nguvu ya mwenye furusa kuendelea kuwafanya furusa wote walioko ccm,

Hii yote, lengo ni kumfanya yule aliyekaribu na huyo mwenye kuwafanya furusa, aendelee kula atakavyo

Wenye akili ccm mnafanya nini kusema kwamba, utawala wa awamu ya 5 ndio huu unaoendelea na unapaswa umalizike mwaka ujao 2025?

Wote huko mmekubali kuwa furusa?

Ni uchaguzi upi ulipita hapo baada ya kifo cha Magufuli kiasi tuite tumeingia awamu ya sita?

Kuna sheria zinasema hivyo? ChoiceVariable . Unamajibu yake juu ya haya maswali ila tu na wewe ni furusa ya maccm hautakubali

Ona hili la Escrow! Kuna kamoja tu kalisema hizo fedha sio za wananchi, wenginewe wote wakawa, oyoh oyoh oyoh oyoh,

Kuna watu CCM wamekuwa ni furusa ya wana ccm wenzao hata kama wanazo akili kuwazidi!

Kuna watu wanavipaji vya kuongoza na wanayo nia ya kugombea 2025, lakini yule mwenye kuwafanya furusa hataki, na fomu ya Urais itaandaliwa moja

Ukiamua kuikataa ccm hakuna dhambi, acha ofisi zao wakabidhi kila kitu, kataa kuwa furusa za wachache

2024 kataa kuwa furusa ya ccm, waachie chama
Ni mpumbavu tuu ndio anaweza amini kwamba maisha yake yatabireshwa na mwanasiasa.

Muda wa kwenda kutumikishwa kwenye mikutano wangeutumia kutafuta pesa wangekuwa mbali.

Gwajina Huwa anawaambia kwamba shida Iko kichwani 😁😁
 
Dada, andika basi taratiiibu ueleweke! Usipaniki
 
Back
Top Bottom