Baadae tusiseme tumeibiwa...
Haiwezekati CCM ikose wapiga kura 15 kila tawi...
so shame kwakweli,barabara ya Kidatu-Ifakara haifiki km 70 ila unatumia at leats 3 hrs kufika Ifakara kwa kutokea Kidatu.
Tatizo ni ukosefu wa pesa ndio unasababisha barabara hiyo isijengwe. Ila Feasibility study (ESIA), Preliminary & Final Design and Preparation of Cost Estimates ya barabara: Mikumi - Kidatu (35km) na Kidatu - Ifakara (70km) zimekamilika!
Baadae tusiseme tumeibiwa...
Haiwezekati CCM ikose wapiga kura 15 kila tawi...
FaizaFoxy samahani, mimi ni mwanachama mpya wa #HapaKaziTu. Naomba uniweke sawa. CCM ina wanachama hai wangapi?
Naona kuna malofa wananiingiza mkenge
Kuna ticha wangu mmoja miaka ya tisini na kitu alikuwa akichapa mwanafunzi anataka mwanafunzi aseme"Asante mwalimu".Sasa mbona huyu jamaa hasemi hivyo?
Hali mbaya sana.....sio mjini wala vijijini.Huyu naye yupo kwenye kampeni?
Kweli boti linazama waz wazi
MPAKA NAMWONEA HURUMA!
sijui nirudi ccm?tena!