Magufuli alia kwa wananchi kuikataa CCM aomba msaada kwa maofisa wa CCM

Na wengi tu wapo kama wewe ila jamaa yupo kwenye wrong place ,hawezi kabisa kubadilisha mfumo wa Chama chake lazima watamzingira na kumuweka kati.Hebu fikiria Kiwete alibadirisha serikali yake mala ngapi ? Alifanikiwa ? Atwambie tu kama anataka kujaribu ? Lakini kuweka ahadi zilezile katika mfumo uleule ni kuchota maji kwa pakacha.

"Sisi wazazi tutamsemea kwa sababu kazi zake zinaonekana kwa hiyo asilie na asiliogope limasai japo linakuja kwa kasi ya katrina"Lakini aache tabia ya kushangaa na kutuponada sisi wazazi kwa kusema atatufungulia mahakama asipojirekebisha tutamtelekeza.
 
samahani,makamanda naomba muiconvert video hii kwenye 3gp au mp4 afu muiupload hapa,ili niitumie leo kwenye kampeni
 
so shame kwakweli,barabara ya Kidatu-Ifakara haifiki km 70 ila unatumia at leats 3 hrs kufika Ifakara kwa kutokea Kidatu.

Nilishawasmbia kuwa wasipoweka lami 2014/2015 sitawapa kura yangu. wametudharau na kutupuuza watu wa Kilombero kwa kipindi chote cha miaka 50. Barbara hii ya kidatu ifakara inaumuhimu mkubwa sana kwa uchumi wa wana Kilombero.
 
Baadae tusiseme tumeibiwa...

Haiwezekati CCM ikose wapiga kura 15 kila tawi...

Huo hauwezi kuwa mfano kwa sababu matawi mengi yana wanachama wakongwe na baadhi ya wanachama wameshakata tamaa na chama.Wengine ni team Lowassa na watu wengi waliofikisha umri wa kupiga kura kipindi hiki hawajajiunga na hicho chama.Pia siyo kila tawi lina wanachama wa uhakika kwa sababu matawi mengi hufunguliwa kwa malengo maalumu likiwemo la kuvuna pesa kutoka kwa wagombea kwa hiyo siyo kila tawi lina kura za uhakika.Lakini usisahau kuwa watu wengi wasiokuwa na vyama wapo upande wa pili na ndio idadi kubwa ya wapiga kura so endelea kujipa moyo na matawi yako tupu yasiyokuwa na majani,Mabadilikoooooooo?SUPER SUB.SUPER SUB?Lowassaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Sidhani kama ccm imechokwa kiasi cha kukosa wanachama 15 tu...
 
Baadae tusiseme tumeibiwa...

Haiwezekati CCM ikose wapiga kura 15 kila tawi...

Acha uongo,mnasema mna wanachama milion 2,ina maana kwa idadi hiyo ya matawi kila tawi mnawanachama 2?????????????
 
Sidhani kama ccm imechokwa kiasi cha kukosa wanachama 15 tu...

Idadi ya matawi sio sahihi,hebu zidisha 950000×15=14,250,000
Katibu wenu wa chama anasema mna wanachama mil 2,sasa hapo huoni mnakuwa waongo!
 
Hii nyuzi ndiyo inadhihirisha uongo wa manazi wa ukawa.
mleta mada utakuta Magufuli na wana CCM wanacheka na kuimba.
 
Akatisha mikutano ya kuomba kura na kuwageukia maofisa wa CCM kufanya nao mkutano mkubwa na kuwambia kuwa Chama kinazama kwani mitaani hali si shwari tena,
Katika hali isiyo ya kawaida mgombea Uraisi kwa tiketi ya CCM ameonekana akifanya mikutano na makada wa Ccm ndani ya Jumba la CCM Daresalaam jana ,kilio cha Magufuli ni baada ya kuona na kusikia kuwa wananchi hawana imani na CCM na kura zao hawatampa Magufuli na badala yake kuzielekeza UKAWA,

Kila wakati alikuwa akisikika akisema wambieni wananchi wasiipe kura kura ,wambieni waje kusikiliza sera zangu ,huko UKAWA hakuna kitu ,na akionyesha kusema kwa sauti ya huruma yenye kuashiria kuwa mambo sio mazuri.

baadhi ya maofisa wa CCm wakiwemo wenye viti wa mikoa mitaa wa CCM walimuahidi Magufuli kuwa watafanya kazi na kuwashawishi wananchi usiku na mchana na asiwe na wasiwasi kwani watajitahidi kumfanyia kampeni ili wananchi hao wabadili mwelekeo.Anatia huruma huku akijaribu kujiliwaza kwa mikutano iliyopita.

Cha kujiuliza kwanini Magufuli alikatisha Ziara na kukutana na wakuu wa Chama chake ghafla ?

https://www.youtube.com/watch?v=-eRuFnpf4Zo

If he can't fight Edo he better join him.Asione aibu kukumbwa na mafuriko kwa sababu hata sisi wenyewe tumepitiwa na vuguvugu la mabadiliko nje ya sisiem+nyota ya Edo+maisha magumu.Kama hawezi kupambana na Edo anyooshe mikono kisha arudi UKAWA kwa sababu sisi hatuna shida naye isipokuwa gari taka alilopanda.Halafu hako ka-meeting kamekuja siku chache baada ya lile shambulio lao dhidi ya UKAWA kubuma pale Shehena restaurant nahisi wazee wa michongo walimkoli amwage kitita ili wampigie misheo kwa hiyo lilivyobumburuka anajiuliza kitita chake kimepotea bure.
 
Rudi kasome upya mkuu...

Tatizo la watu ambao walizoea spoon feeding wakiwa shuleni ndio hili!Haya ngoja nikulishe kama ulivyozoea,umesema mna matawi 950000,Nape anasema mna wanachama mil 2,sasa chuku 2,000,000÷950000=2.1
Ndio nikasema pale juu,ina maana kwa wastani kila tawi mnawanachama 2????????????????umeelewa au bado?
 
Eti msifanye mabadiliko ya pupa kama misri na libya, mwambieni tumeshaamua hivyo, acha tujute baadae baada ya ccm kuondoka kuliko kuendelea kukumbatia madhambi yao. Mabadiliko hayakwepeki jambo namuonea sana huruma jinsi anavyoongea kwa kukata tamaa. Yupo kutimiza maandiko

Mkuu usiwaonee huruma CCM Wao hawajawahi kuwa Na huruma Na watanzania.
 
Tatizo la watu ambao walizoea spoon feeding wakiwa shuleni ndio hili!Haya ngoja nikulishe kama ulivyozoea,umesema mna matawi 950000,Nape anasema mna wanachama mil 2,sasa chuku 2,000,000÷950000=2.1
Ndio nikasema pale juu,ina maana kwa wastani kila tawi mnawanachama 2????????????????umeelewa au bado?

Kuna ticha wangu mmoja miaka ya tisini na kitu alikuwa akichapa mwanafunzi anataka mwanafunzi aseme"Asante mwalimu".Sasa mbona huyu jamaa hasemi hivyo?
 
Eti msifanye mabadiliko ya pupa kama misri na libya, mwambieni tumeshaamua hivyo, acha tujute baadae baada ya ccm kuondoka kuliko kuendelea kukumbatia madhambi yao. Mabadiliko hayakwepeki jambo namuonea sana huruma jinsi anavyoongea kwa kukata tamaa. Yupo kutimiza maandiko

Hapa mimi ndio uwa simuelewi kabisa maana hizo nchi anazotolea mfano kwani walikiondoa chama tawala kwa chaguzi au mabavu ya kivita? Au na yeye anataka niaminisha kuwa ata wakishindwa hawatoachia nchi mpaka mtutu?
 
Back
Top Bottom