Magreat Thinkers ninaowafeel...........

mmmhh haya ngoja kichwa kinanizunguka sasa
sasa sijui ni ajili ya hii thread au mambo ya saturday night
mmmmhhhhh..
samahani sana mkuu , itabidi nirudi hapa asubuhi
na macho yang manne ni some tena
hahahah lol:coffee:
 
Kimokole umesibu, umenena ya uhakika
Tena umenistaajabu, kunijibu kwa haraka
Wajibu tena faradhi, malenga kukusanyika
Jamvini bila tabu, wote tukafarijika.

Wala sikufanya haraka, ni wepesi wa kuandika,
Nilishikwa na wahaka, Kimo jina umeliweka,
Furaha ikanishika, hima Keyboard kuchapa.
Nimefurahi hakika, Kimokole betini nawika
 
Ila hapa nna machungu, ya Misiri yaniumiza,
Watu kama Sungusungu, hadi usiku wa kiza,
Hasira hadi vurugu, kisa walikandamizwa,
Je Tanzania twaweza, ama hatuna uchungu?
 
mmmhh mie yangu macho mwenzenu sina cha kuongeza maana tumezodolewa mpaka aibu
 
si kwamba namchukia, Wiselady mtani,
ila yamenizidia, yake makeke kundini,
fujo azipalilia, ili apate kuwini,

tunatamani kulia, tumtiapo machoni,
yeye anafurahia, tuingiapo shidani,
nina shaka si raia, bali yeye ni mgeni,

akiona unalia, yeye kwake burudani,
apenda kuzidishia, shida iliyo moyoni,
hapendi kufarijia, wiselady mtani.
 
si kwamba namchukia, Wiselady mtani,
ila yamenizidia, yake makeke kundini,
fujo azipalilia, ili apate kuwini,

tunatamani kulia, tumtiapo machoni,
yeye anafurahia, tuingiapo shidani,
nina shaka si raia, bali yeye ni mgeni,

akiona unalia, yeye kwake burudani,
apenda kuzidishia, shida iliyo moyoni,
hapendi kufarijia, wiselady mtani.

Dah! PJ nipe break kidogo,,,
furaha yangu,huwa ni furaha yenu
huzuni yenu,huwa ni huzuni yangu
mnitiapo machoni,huwa mnafarijika
hata kama mlikuwa mna njaa,huwa mnashiba
kama mlikuwa na huzuni,huwa mnafarijika
 
Wala sikufanya haraka, ni wepesi wa kuandika,
Nilishikwa na wahaka, Kimo jina umeliweka,
Furaha ikanishika, hima Keyboard kuchapa.
Nimefurahi hakika, Kimokole betini nawika

Kimokole JF ni baraza yahitaji ikapambwa
Ipambwe kwa mawaidha, jokes, siasa na kadhalika
Bila nyuma kujiweka, mashairi nayo pia.
Hima wanajamvi tutumbuize kwa kila fani.
Shairi lina nafasi ujumbe kuufikisha
Haihitaji mhenga kama mbiu isemavyo
Kila mmoja awezavyo, burudani twangojea
Shairi la leo halihitaji mhenga, hata peku aandika.
 
mmmhh haya ngoja kichwa kinanizunguka sasa
sasa sijui ni ajili ya hii thread au mambo ya saturday night
mmmmhhhhh..
samahani sana mkuu , itabidi nirudi hapa asubuhi
na macho yang manne ni some tena
hahahah lol:coffee:

Shairi lina nafasi ujumbe kuufikisha
Haihitaji mhenga kama mbiu isemavyo
Kila mmoja awezavyo, burudani twangojea
Shairi la leo halihitaji mhenga, hata peku aandika.
 
si kwamba namchukia, Wiselady mtani,
ila yamenizidia, yake makeke kundini,
fujo azipalilia, ili apate kuwini,

tunatamani kulia, tumtiapo machoni,
yeye anafurahia, tuingiapo shidani,
nina shaka si raia, bali yeye ni mgeni,

akiona unalia, yeye kwake burudani,
apenda kuzidishia, shida iliyo moyoni,
hapendi kufarijia, wiselady mtani.

Nakushukuru kwa dhati, Bwana Pii Jeii
Kuyatunga kwa ubeti, majibu babukali
Ila nani kazatiti, Wiselady na Pii Jeii
Kila mmoja haambiliki, wote wanasutana!
Ama nyingi madongo wiselady unamtunukia
Zingatio ni makonyo japokuwa yana dawa
Adai wamuonea, hataki kuingiliwa
Haikujiri ikawa eti machoni kumtia?! Duh!
 
Mohammed Shossi nisaidie kupambana na huyu PJ ananionea sana na mm umalenga siuwezi, pls do it for me
 
japo mie siko ktk list ya unaowafeel lkn nisipokupa hongera nitakuwa mchoyo,
hongereni na wanamalenga wote,inafurahisha sana kuona jinsi mnavyoinyambua lughakupitia hizi tungo/tenzi.
 
Mohammed Shossi nisaidie kupambana na huyu PJ ananionea sana na mm umalenga siuwezi, pls do it for me

Kazi unayonituma, sina budi ujira kupatana
Utaweza kubali, matai tusije kamatana
Nataka nyama ilonona tena mwanana
Sitakiutumbo japo wachanga wanapikia banana
Walasitaki yakidari kwenye meno yashikana
Wala sitaki ya mbuzi hata iwe kilo nane
Nataka paja la swala alienona mwanana
Wiselady nauliza je wajua kuwinda?
 
Cheusimangala upo? Mudy Shossi hajasahau,
Labda beti lijalo umo, ataghani kwa nahau,
Wala usiwe na kinyongo, kwenye listi hatakusahau.
 
Kazi unayonituma, sina budi ujira kupatana Utaweza kubali, matai tusije kamatana Nataka nyama ilonona tena mwanana Sitakiutumbo japo wachanga wanapikia banana Walasitaki yakidadi kwenye meno yashikana Wala sitaki ya mbuzi hata iwe kilo nane Nataka paja la swala alienona mwanana Wiselady nauliza je wajua kuwinda?

Wa kuwinda Wiselady? Sijui wamaanisha nini,
Au wataka weledi, watufumba tuachwe mjini,
Asije akamaindi, akakasirika mwandani
kusaidiana ni jadi, akuomba Wiseladi
 
Mkuu Shossi hata miye nakuzimia sana na michango yako moto moto pamoja na kuwa huna muda mrefu hapa jukwaani lakini unalichangamsha sana jamvi kila siku iendayo kwa Mungu na mashairi yako ni kama yale ya mabingwa wa mashairi wa jamvi hili wakiwemo Judy, Mwanakijiji na wengineo. Shukrani sana Mkuu

YouTube - Alone Again by Alyssa Reid ft. P.Reign
 
Dah! PJ nipe break kidogo,,,
furaha yangu,huwa ni furaha yenu
huzuni yenu,huwa ni huzuni yangu
mnitiapo machoni,huwa mnafarijika
hata kama mlikuwa mna njaa,huwa mnashiba
kama mlikuwa na huzuni,huwa mnafarijika


Kumbe na wewe wamo eeh! hongera zako WL.
 
japo mie siko ktk list ya unaowafeel lkn nisipokupa hongera nitakuwa mchoyo,
hongereni na wanamalenga wote,inafurahisha sana kuona jinsi mnavyoinyambua lughakupitia hizi tungo/tenzi.

Cheusimangala usone nimekusau Nimechela kukutaja, kuna mabasha hatari Watata kukuna, kutafune bila kachumbari Wamekaa na kahawa, wakutafune kama kashata Wamebobea ushenzi maana hawana Yana uchu kishezi kwa wenye umbo kama lako mwanana.
 
japo mie siko ktk list ya unaowafeel lkn nisipokupa hongera nitakuwa mchoyo,
hongereni na wanamalenga wote,inafurahisha sana kuona jinsi mnavyoinyambua lughakupitia hizi tungo/tenzi.
ewe cheusi mangala, salamu nakutmia,
mola anayetawala, akupe nyingi jalia,
usijeingia hila, nduguzo kutuchukia
...upatapo siku mbili, moja ututembelee.

uliondoka ghafula, ukatuacha na njia
ndege ukaidandila, ukapotea sawia
hatuna hamu ya kula, hata maji kunawia
...ile namba ya nduguyo,
 
Back
Top Bottom