Magari yote ya kwenda kaskazini yamekwama wami muda huu

Magari yote yanaoyokwenda mikoa ya kaskazini na mikoa mingine yamekawama wami baada ya gari moja kugonga mtoto na wanakijiji wamevamia barabara na kuiziba wakidemand kuwekewa matuta-
hadi sasa hali si shwari
Wewe ulisoma jiografia? kuna kaskazini mashariki (North East) na kaskazini magharibi (North west). Magari yote yayokwenda kaskazini hayawezi kupitia wami peke yake. :lol:
 
Kwa hiyo kila anapogongwa mtu pawekwe tuta ? kwa sisi tunaosafiri na kuendesha mara kwa mara hakuna hata mmoja anatoka alipotokea kwa ajili ya kugonga mtu wakati mwingine ni uzembe wa watembea kwa miguu na waendesha baiskeli
saa nyingine unakuta vijana wamekaa pembezoni mwa barabara wanapiga story
 
Back
Top Bottom