Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,202
- 218
Niliuliza swali Vodacom ni mali ya nani? Mkuu Mtsimbe akanipa jibu hili na maelezo mengine kuhusu Vodacom Foundation.
Bado tu mnashangaa kuhusu Vodafone or whatever you call it, kuja na 'utapeli' wa aina hiyo? Jina la huyo Bwana mkubwa wakati wote linaendana na hujuma ya aina fulani!
sasa hii inahusiana nini na jambo tunalojadili sisi hatujadili watu bwana