Mafuriko:Vodacom waanza kampeni ya simu; kuchangia Vod. Foundation

Yaani hawa Vodacom Foundation wanaona tatizo hili leo baada ya zaidi ya wiki tatu kupita tangu maafa yatokee?
 
Kwani kuna ubaya gani?
Hakuna ubaya, lakini yaani wao walisubiri victims wa mafuriko yale waliohitaji msaada wa mara moja wafe kwanza kwa kukosa misaada halafu ndipo wao Vodacom wasaidie wale ambao hawakuhitaji msaada wa mara moja?
 
Vodacom are in it for them selves..Corporate bullshit at it's best. Vodacom Foundation was suppose to BRING BACK TO THE COMMUNITY not TAKING FROM THE COMMUNITY for their own Publicity. Shame on you Vodacom...
 
Na mkifanya mchezo watawapiga bao la kisigino.Something has to be done to prevent hili bao.

Mkuu, harambee hii tuliianzisha si kwa kushindana na yeyote bali kusaidia ndugu zetu Wahanga wa mafuriko.

Kama una maoni yoyote ya kuboresha au nini cha kufanya, tutafurahi kuyasikia.
 
Asante Mkuu.

Nakubaliana nawe kwamba baadhi ya wananchi hawachangii kwa sababu hawamini kwamba michango yao itawafikia walengwa. Pia, siku hizi umeingia 'ugonjwa' wa wananchi kudai Serikali ifanye kila kitu, hata yale mambo ambayo yako ndani ya uwezo wa wananchi wenyewe kuyafanya kwa kujitolea kama ilivyokuwa huko nyuma. Twaamini TPN mtaweza kuja na mikakati ya kufufua moyo wa kujitolea miongoni mwa wananchi.

Ninayo imani kuwa haya pia ni mapambano ya fikra. with time wengi Wataanza kuelewa. Ni jambo jema wote tukisaidiana kuangalia ni namna gani ya kurudisha uzalendo na kujenga nchi yetu.
 
Vodacom are in it for them selves..Corporate bullshit at it's best. Vodacom Foundation was suppose to BRING BACK TO THE COMMUNITY not TAKING FROM THE COMMUNITY for their own Publicity. Shame on you Vodacom...

Kama wote tungefikiri kama wewe, hakika tusingekuwa brainwashed kupitia matatizo.

Why taking from the poor?
 
Tumeanza kushuhudia namna ambavyo Kilosa imekuwa mtaji wa kibiashara, na mengi yanakuja kwenye hili

Ukitaka kujua namna Kilosa inavyo serve kama mtaji wa kisiasa mtazame waziri wenu wa Fedha alivyoganda kule kupokea hata kandambili pea 2 utadhani hakuna viongozi wa serikali. Habanduki, maana akifanya hivyo tu, wanaowania jimbo watajazana kweli kununua fikra za watu kupitia kipindi hiki kigumu kwa wapiga kura wa kule

More sasa, and more badae. Time will tell!
 
Mimi ndio maana nimeshangaa sana. Miaka yote hii tunasikia kina Mwamvita na Voda Foundation wametoa misaada kwenye mashule, macliniki n.k toka kwenye vodacom foundation. Hakuna hata wakati mmoja ambapo wametangaza wanataka wachangiwe ilii watoe misaada hiyo. Sasa iweje leo kwenye suala la mafuriko wataka kuchangiwa ili watoe misaada kwa waathirika?

Kama wangekuwa wanaendesha harambee ya kuchangia Red Cross kama TPN na sisi tunavyofanya wala isingekuwa sababu ya kushtuka; lakini kuichangia Vodacom Foundation ili itoe misaada kwa waathirika, nashtuka kuliko neno kushtuka lenyewe linavyomaanisha.
 
Ungekuwa si wezi wangechangia moja kwa moja kutoka kwenye mfuko wako kama "corporate social responsibility"

Besides, juhudi za kukusanya pesa kwa ajili hiyo zilishakuwepo tayari serikali, TPN etc kwanini wasingeunga mkono badala ya kufanya duplacations of efforts?

Just for interest wanapataje faida? ukute wanavuta profit kwa jina la maafa...
 
Mimi ndio maana nimeshangaa sana. Miaka yote hii tunasikia kina Mwamvita na Voda Foundation wametoa misaada kwenye mashule, macliniki n.k toka kwenye vodacom foundation. Hakuna hata wakati mmoja ambapo wametangaza wanataka wachangiwe ilii watoe misaada hiyo. Sasa iweje leo kwenye suala la mafuriko wataka kuchangiwa ili watoe misaada kwa waathirika?
Kama wangekuwa wanaendesha harambee ya kuchangia Red Cross kama TPN na sisi tunavyofanya wala isingekuwa sababu ya kushtuka; lakini kuichangia Vodacom Foundation ili itoe misaada kwa waathirika, nashtuka kuliko neno kushtuka lenyewe linavyomaanisha.

Vodacom Foundation is there to fulfil Vodacom's Social Resposibilty Policy...the money should come from Vodacom not from the people.

How the hell are they allowed to collect money from the public as Charity while they are not a Public Charity...kwenye website yao wanasema hivi

"Vodacom is Tanzania's leading cellular network and with our success comes the responsibility of giving back to our society in a meaningful and sustainable fashion.

The Vodacom Foundation was created in July, 2006, for this purpose. The Foundation focuses Vodacom's corporate social investment efforts with the aim of improving the lives of Tanzanians through poverty alleviation and promoting economic development."

Vodacom is a Limited Company, why should the Tanzania Public get in the Business of giving the money to fulfill their (Ltd Company) Social Respocibility. ??!!!

This idea is SICK at so MANY LEVELS.
 
Kutoa ni Moyo nakubali ,ilanitajuaje niki text hiyo mesg simchangii Mwamvita kununua some new Gucci shoes?.. wabongo si waamini kwalolote !, la tuchange hatuwezi jua maybe this time tuta kuwa right!
 
Mkuu, harambee hii tuliianzisha si kwa kushindana na yeyote bali kusaidia ndugu zetu Wahanga wa mafuriko.

Kama una maoni yoyote ya kuboresha au nini cha kufanya, tutafurahi kuyasikia.
A well worded, highly diplomatic and a very serious post.
 
Wizi mtupu,hawana aibu hata kidogo,kuanzai MD na utawala mzima wa VODACOM wamejikusanya kuwaibia watanzania na kugain reputation kupitia matatizo ya watu wa Kilosa.Shame on you Mafuru na team yako!
 
Hivi kwa nini mtu uchangie Vodacom Foundation? Na hela wanayolipwa na wateja wao wanataka kuifanyia nini? I will never ever contribute to that, even if it is for a good course. Never!
 
Wizi mtupu,hawana aibu hata kidogo,kuanzai MD na utawala mzima wa VODACOM wamejikusanya kuwaibia watanzania na kugain reputation kupitia matatizo ya watu wa Kilosa.Shame on you Mafuru na team yako!

Yani aliyebuni huo mkakati amefilisika kimawazo, ukiwa mtu wa Marketing inabidi uwe mbunifu. Profit yenu ndiyo mtumie kwa Community work, Shame on You guys!
 
Tumeanza kushuhudia namna ambavyo Kilosa imekuwa mtaji wa kibiashara, na mengi yanakuja kwenye hili

Ukitaka kujua namna Kilosa inavyo serve kama mtaji wa kisiasa mtazame waziri wenu wa Fedha alivyoganda kule kupokea hata kandambili pea 2 utadhani hakuna viongozi wa serikali. Habanduki, maana akifanya hivyo tu, wanaowania jimbo watajazana kweli kununua fikra za watu kupitia kipindi hiki kigumu kwa wapiga kura wa kule

More sasa, and more badae. Time will tell!

In my opinion you are being unfair to Hon. MP for Kilosa. Wananchi anaowawakilisha wamekumbwa na janga kubwa. I wish you were there to see how devastated those poor Kilosa, Kimamba, Chanzuru .... residents were. Mbunge abanduke aende wapi katika hali ya namna hiyo. Mbunge muwajibikaji anapaswa kupiga kambi kwenye eneo la janga hilo mpaka kieleweke. I commend Mustapha for being there for his people.
 
I wish this guy could leave his Dar office for what you called "his people"

Kuna mkuu wa mkoa, katibu tawala wa mkoa, mkuu wa wilaya, katibu tawala wa wilaya, mkurugenzi wa wilaya (DED), kuna ofisi ya waziri mkuu inawatendaji kadhaa kitengo cha maafa, akiwemo waziri muhusika na mkurugenzi wake tuliyemuona wakati vodacom wanazindua kampeni yao ya Red Alert, kuna red cross, kuna red alert, kuna red card, kuna red bull, kuna red madiwani, kuna red wewe,,,,,and many more you mention......

Habanduki si kwakuwa hakuna wakuorganize hili swala, habanduki kwakuwa anakihitaji sana kipindi hiki kwa ajili ya siasa. Mnakataa sana, na mtakataa sana, lakini nawaambia, huu ni mtaji wa kisiasa na kibiashara

Time will tell
 
In my opinion you are being unfair to Hon. MP for Kilosa. Wananchi anaowawakilisha wamekumbwa na janga kubwa. I wish you were there to see how devastated those poor Kilosa, Kimamba, Chanzuru .... residents were. Mbunge abanduke aende wapi katika hali ya namna hiyo. Mbunge muwajibikaji anapaswa kupiga kambi kwenye eneo la janga hilo mpaka kieleweke. I commend Mustapha for being there for his people.

lucky him (Mkullo)!.......yes i said it and i mean it

AND

SHAME ON YOU VODACOM
 
Back
Top Bottom