Hii mvua itatufanya tufukuzwe kazi, jana nimeingia job saa 3, leo sio kama saa 6 sijui. Tandale, magomen sijui kukoje huko naona ya leo kiboko kuliko ya jana.
daraja limevunjika hapa mbezi kibanda cha mkaa,magari ya kwenda mkoani hayapiti wala watu kwenda mikoani
Ya kweli hayo? Nipo hapa maili moja namsindikiza abiria mpaka sasa hakuna gari iliyofika!
mkuu habari ndo hyo,mi nimetoka kwangu mbezi mwisho saa 11 asubuh mpaka saa hzi nipo petrol station mbezi mwisho,maji yanapita juu ya barabara,daraja halionekani tena
mkuu habari ndo hyo,mi nimetoka kwangu mbezi mwisho saa 11 asubuh mpaka saa hzi nipo petrol station mbezi mwisho,maji yanapita juu ya barabara,daraja halionekani tena
Niko kwenye sumri kuelekea Singida ila tumekwama hapa mbez, kama hali ndo hii cjui kama leo tutaondoka hapa. Nadhani leo magar yote ya mikoan lazma yalale njian ama sivyo basi yataahirisha safar.
Mimi huyu ndugu yangu ningemshauri aahirishe safari kama angekuwa hajakata tiketi!
Nakumbuka hii mvua, ilikuwa kipindi cha mwaka mpya kama sikosei 1992 kuingia 1993, ilikuwa balaaa!...Nakumbuka kuna mvua moja iliwahi kunyesha Dar (sikumbuki mwaka gani) ilikuwa mvua kubwa sana ambayo hadi hii leo sijawahi kushuhudia mvua kubwa kama ile ambayo iliambatana na radi za kutisha sana. Tulijikusanya na kuanza kusali kwa woga uliosababishwa na mvua ile.
Katavi bana si umesema unaenda maili moja hapo juu labda ufute kauli yako.