Mafuriko Dar, mvua kali ikiambatana na radi yanyesha, umeme wakatwa

hali ni mbaya sana ..mh

....Halafu cha kusikitisha zaidi ni kwamba hii Serikali taahira inaweza ikanyamaza kimya kuhusiana na mvua hii na hatua zipi ambazo zitachukuliwa ili kupambana na hali ya mafuriko makubwa mara kwa mara katika jiji la Dar ambayo yanasababisha hasara kubwa sana.
 
Vipi kuna helikopita yeyote ya jeshi la wananchi au polisi inapita pita kuona kama kuna wananchi wanazama iwaokoe? Vipi vituo vya radio vinatumika inavyotakiwa au ndo kwanza vinapiga mziki mwanzo mwisho? Hii ndiyo Tanzania.
 
Mi napenda lkulu ijae maji pale ili jamaa ashtuke hivi mm nipo juu ya dali hapa chini hakufai.

Mie nilikuwa nawaza hivyo hivyo Mkuu!!! labda ndio atapata akili ya kushughulikia hili tatizo ambalo ni kubwa sana.
 
Mie nilikuwa nawaza hivyo hivyo Mkuu!!! labda ndio atapata akili ya kushughulikia hili tatizo ambalo ni kubwa sana.

Vinginevyo ataendelea kuziba pamba masikioni tu na kuona swala la kawaida tu. Yaani inatakiwa wakazi wa upanga na vitongoji vyake waachie vinyesi vitapakae viunga vya ikulu na magogoni pale la sivyo tutaendelea kuteseka.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

....Jamaa huyu ni bomu kabisa anaipeleka nchi mahali pabaya sana. Akiachiwa amalize muda wake nchi yetu itakuwa haitamaniki.
 
Back
Top Bottom