Mafuriko Dar, mvua kali ikiambatana na radi yanyesha, umeme wakatwa

Nipo Dar, hakuna mvua yoyote iliyonyesha hivi karibuni. Hakuna mafuriko, jua linawaka na kuna vumbi jingi tu hasa maeneo ya Tabata Relini na Kigogo. Wewe umesikia kwa nani?

Unafikiri kwa kutumia masaburi kama nape!
 
Nipo Dar, hakuna mvua yoyote iliyonyesha hivi karibuni. Hakuna mafuriko, jua linawaka na kuna vumbi jingi tu hasa maeneo ya Tabata Relini na Kigogo. Wewe umesikia kwa nani?

We ni houseboy upo ndani umefugwa ya nje utayajuaje, watu mpaka mida hii bado wako juu ya mapaa ya nyumba zao wewe unasema jua linawaka labda linawaka chumbani kwako.
 
Nipo Dar, hakuna mvua yoyote iliyonyesha hivi karibuni. Hakuna mafuriko, jua linawaka na kuna vumbi jingi tu hasa maeneo ya Tabata Relini na Kigogo. Wewe umesikia kwa nani?

Wewe unaishi Dar ya wapi? Acha porojo.
 
Nipo Dar, hakuna mvua yoyote iliyonyesha hivi karibuni. Hakuna mafuriko, jua linawaka na kuna vumbi jingi tu hasa maeneo ya Tabata Relini na Kigogo. Wewe umesikia kwa nani?
[/QUOT Ni asili yako kila ki2 unapinga sasa hapo unachokataa ni kipi au ndo unatafuta umaarufu!!!
 
Mungu awasaidie watakaokosa usingizi usiku wa leo kwa sababu ya mafuriko.
 
Mim ni muathirika,maji yameingia ndani na yameharibu kila kitu,nipo Kin0nd0n m0sko
Nasikia mvua kubwa imenyesha Dsm na imesababisha mafuriko maeneo mengi ya Dsm .aliy karibu atajuze yanayo jiri
 
Mdau dar ipi hyo,huku kin0ndon na jangwan chopa ina0koa watu
Nipo Dar, hakuna mvua yoyote iliyonyesha hivi karibuni. Hakuna mafuriko, jua linawaka na kuna vumbi jingi tu hasa maeneo ya Tabata Relini na Kigogo. Wewe umesikia kwa nani?
 
Nasikia mvua kubwa imenyesha Dsm na imesababisha mafuriko maeneo mengi ya Dsm .aliy karibu atajuze yanayo jiri

ni kweli hapa kwetu msewe darajani karibu na ofisi ya chadema darajani na daraja limevunjika mtu mmoja kafariki dunia.
 
mvua.JPG
 
Nipo Dar, hakuna mvua yoyote iliyonyesha hivi karibuni. Hakuna mafuriko, jua linawaka na kuna vumbi jingi tu hasa maeneo ya Tabata Relini na Kigogo. Wewe umesikia kwa nani?

Hata mimi nimeshtuka sana kusikia eti Dar kuna mvua,
Huyo aliekuambia muulize vizuri!!! Wajua majina ya vitongoji vya Dar kama Kariakoo, Posta, Mkwajuni, n.k. Vinafanana na Zanzibar, so may be kule ndio kuna hiyo mvua!
Nakaa maeneo ya kinondoni mkwajuni hali ni shwari kabisa,
Na hata nlivyopita Jangwani napo Jua ni Kali sana!!
Kariakoo, Posta kila mtu ameloa jasho kwa jinsi jua lilivyo kali!!
 
Sijui uko Dar ya wapi wakati mie nimekwama sababu ya visibility ndogo mnamo saa kumi na moja asubuhi nikashindwa kuwahi kazini nikarudi ndani kulala nikiwa nimelowa chakari!!

Back
Top Bottom