Enny JF-Expert Member May 26, 2009 962 130 Jan 14, 2011 #1 Natafuta mafundi wazuri wa malori aina ya scania kwa maeneo ya Dar es salaam.
Mlachake JF-Expert Member Oct 13, 2009 4,412 4,559 Jan 14, 2011 #2 Enny said: Natafuta mafundi wazuri wa malori aina ya scania kwa maeneo ya Dar es salaam. Click to expand... Kaka kuna mutu Inaitwa Kakoya Iko Moshi Ni balaa!!
Enny said: Natafuta mafundi wazuri wa malori aina ya scania kwa maeneo ya Dar es salaam. Click to expand... Kaka kuna mutu Inaitwa Kakoya Iko Moshi Ni balaa!!
ELITIBISI Member Nov 4, 2010 21 5 Jan 14, 2011 #3 nenda temeke mwisho ccm muulizie askofu yuko safi sana nimefanya naye kazi mpk leo!
Enny JF-Expert Member May 26, 2009 962 130 Jan 17, 2011 Thread starter #4 naomba Namba zao za simu tafadhari
BONGOLALA JF-Expert Member Sep 14, 2009 16,507 11,883 Jan 17, 2011 #5 Watu wanazikimbia scania siku hizi-spare zake mchina anachakachua sana!
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,386 Jan 18, 2011 #8 Enny said: Natafuta mafundi wazuri wa malori aina ya scania kwa maeneo ya Dar es salaam. Click to expand... piga hii namba ..tuko nyerere road.+255744291022
Enny said: Natafuta mafundi wazuri wa malori aina ya scania kwa maeneo ya Dar es salaam. Click to expand... piga hii namba ..tuko nyerere road.+255744291022
M Masomi Member Jan 18, 2011 22 4 Jan 18, 2011 #9 Conact mtu anayeitwa Lumelezi namba yake ni 0754926842
Ta Muganyizi R I P Oct 19, 2010 5,361 2,734 Jan 18, 2011 #10 Duh, kuna mtu hapa Bukoba anaitwa Scania ni nomaaaa, kwa Scania na wake za wenzie