Scania (polo series) vs ndinga za Kichina

Deo mariwa504

Member
Dec 31, 2022
5
5
Ee bwanaa eeh!

Kampuni kongwe kam hii KILIMANJARO Express, DAR Express, TAHMEED Na SAULI naanza kuelewa kwa nini hawataki kubadili muonekano, muundo wala mfumo wao wa usafirishaji japo wanaonekana wa kizamani upande wa pili bado wana ushindani mkubwa wa gari za kutoka China kma YUTONG.

ZHONGTONG, HIGER
Sababu muhimu ya kwa nin biashara zao znakuwa stable ni:

- Custormer service na managers zko vizuri ina sikilza maoni ya wasafiri kulko matakwa ya madereva .mfano KLM au dar experss unaweza ukapiga sim direct kw mmiliki na shda yako ikatatulika haphapo.

- Scania Body ngumu sanaa kuko basi za Kichina

- Life span ya magari SCANIA ni karibu mara mbili ya gari za kichina 2023 hii tupo plate number “E..“Ila KLM Ana gari zna plate number “AA...”

- SCANIA Engine. Zna himili barabara zenye mwendo mrefu kwa safari moja >1000km bila kupata shda kubwa (umbali wa Dar-Mwanza) na zna sunspension system nzuri sana kwnye barabara za vumbi au road bumps(rasta )

Wewe una maoni gani kuhusianaa scania vs chinese bus

IMG_4872.jpg

IMG_6075.jpg
 
Mchina kapitwa na Body Builder wengine kwenye Air suspension system na luxury Seat Configuration.

Marcopolo kwenye plant ya China wame assembly zile Bus za Super Feo ingawa ni hao hao wachina na wameweka standards zote
 
Huyo KLM Unayemtolea mfano, anayo yutong F11 body yake ni mpya kama imetoka jana China!!

Kwenye mada za namna hii zungumzia akina simiyu dreamliner, hekima za Mungu na wengine wenye kufanana na hao ili tubalance mzani..
 
IPhone na Tecno , unafananisha matakataka ya miaka 20 number A , na number E za akina BM Bus , napenda mchinaa balaa , Scania Moja bei yake unapata Youtong 4 ,kwenye Biashara tunaangalia kipi kina mzunguko mkubwa wa pesa , mchinaa mzunguko wake ni mkubwa sana , ule upuuzi wa kusema alinnunua babu anatumia mjukuu umepitwa na wakati . Mchina apewe maua yake ,
 
IPhone na Tecno , unafananisha matakataka ya miaka 20 number A , na number E za akina BM Bus , napenda mchinaa balaa , Scania Moja bei yake unapata Youtong 4 ,kwenye Biashara tunaangalia kipi kina mzunguko mkubwa wa pesa , mchinaa mzunguko wake ni mkubwa sana , ule upuuzi wa kusema alinnunua babu anatumia mjukuu umepitwa na wakati . Mchina apewe maua yake ,
Mchina baba
Screenshot_2023-10-18-15-32-33-455_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Back
Top Bottom