Nakuheshimu Mayala thread yako kuhusu kujeruhiwa kwa Lisu kumenifanya niamini huna huruma ya maumivu ya wengine. Otherwise umeamua kuunga juhudi za port wako Mr. JiweMkuu Rev. Kishoka, naunga mkono hoja
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba! - JamiiForums
P.