Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

Status
Not open for further replies.
amekuibia nini ? Unao ushaidi ? Acheni kuongea kama mpo chooni.

"Ukiwaga chooni unaongeaga", mwizi ni mwizi tu hata kama anavaa suti na kufunga tai ni MWIZI TU. Full Ushahidi anao Manumba ila anamuogopa, kama unabisha Muulize Mwakyembe!
 
ninamuomba mleta thread hii ajitokeze hapa ili nimuulze maswala moja baada ya jingine...maana naona vitu vinapikwa na kuwekwa hapa halafu watanzania wanameza tena kukiwa giza bila kujua wanachomeza ni nini......
 
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni

Wapo wanaosambaza ujumbe kupitia SMS kwamba Mh. Amefariki, hapana. Huo ni uzushi wa kupuuzwa. Mh. Ni mzima. Wapiganaji Mh. Benno Malisa, January Makamba, Makongoro Mahanga, Mama Shelukindo na Zitto Kabwe, endelezeni vita vya kulikomboa taifa. Mh. anawaaminia

umemsahau peter selukamba
 
Jamaa kasikia Mwakyembe kasambaza waraka, mavi debe. Mwakyembe sasa huo waraka mtumie na yeye naamini utakuwa umemaliza kazi fastaaaaaaa.
 
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni

Wapo wanaosambaza ujumbe kupitia SMS kwamba Mh. Amefariki, hapana. Huo ni uzushi wa kupuuzwa. Mh. Ni mzima. Wapiganaji Mh. Benno Malisa, January Makamba, Makongoro Mahanga, Mama Shelukindo na Zitto Kabwe, endelezeni vita vya kulikomboa taifa. Mh. anawaaminia

Mungu amchukue salama.
 
kuna jamaa alipata sroke akarudi mdomo umepinda. akawa anaongelea upande.
 
"Ukiwaga chooni unaongeaga", mwizi ni mwizi tu hata kama anavaa suti na kufunga tai ni MWIZI TU. Full Ushahidi anao Manumba ila anamuogopa, kama unabisha Muulize Mwakyembe!

sasa si mumpeleke mahakamani kuliko kuleta majungu huku .
 
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni

Wapo wanaosambaza ujumbe kupitia SMS kwamba Mh. Amefariki, hapana. Huo ni uzushi wa kupuuzwa. Mh. Ni mzima. Wapiganaji Mh. Benno Malisa, January Makamba, Makongoro Mahanga, Mama Shelukindo na Zitto Kabwe, endelezeni vita vya kulikomboa taifa. Mh. anawaaminia

Mmh, Lumato! Kama vile uko Gezaulole.
 
Aaseeee!!!!!!!' alikuwa haiwezekani kutibiwa/kuchekiwa muhimbili?!?

aise kweli kiswahili kinadanganya watu. Yani ischaemic stroke ni shinikizo dogo? There are two types of stroke,ischaemic and haemorrhagic. Na hii ndo kiharusi. Madhara yake itategemea na sehemu ya ubongo iliyokuwa affected. Anaweza kuwa mzima leo na baada ya miezi akaanza kuvuta miguu. Tuendelee kumuombea ili aendelee kuwa na haki yake ya kuishi. Ila kwenye kujenga uchumi hapana!
 
Kazi nyingi sana anazifanya mh. Mungu amjalie apate nafuu. baadhi ya kazi nyingi ni hizi

Richmond - pasi ikapigwa kwenda Dowans
Dowans- kufilisi taifa
Siyoi Sumari - kushinikiza apitishwe ili kuimarisha ngome
Kuhudumu madhabahuni ili kupata wafuasi kwa ajili ya 2015 n.k.

Nchi yetu imebarikiwa watu wenye kumbukumbu finyu sana, ukifanya ufisadi unajisafisha kanisani then unakuwa MR Clean. very simple indeeed.

Acha wivu ww. una uhakika Lowassa ni mwizi? Muombeeni mpiganaji wetu aje kuimarisha ngome kuelekea 2015
 
namtakia afya njema Mhe. Waziri Mkuu mstaafu.

wewe ni mwenyekiti wa uvccm singida, umesha haribiwa na dewji, kila patolewapo rushwa unajipendekeza, umeharibika hufai, unamtakia afya njema wakati unaambiwa afya yake mgogoro, "kwa kuwa umetenda dhambi utakufa hakika" bado nafikiria neno sahihi kwa lowasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom