Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

Status
Not open for further replies.
Mungu atamjalia apone haraka arudi Arumeru kufuatilia kampeni za Mkwe wake.

Kama atakuwa anaumwa low stroke atapona. Lakini Laana ya wizi wa raslimali za umma hawezi kupona maana ni kama vile ugonjwa wa ukimwi hauna tiba.
 
Yuko Ujeruman Hospital gani?, wengine tuko Ujeruman hapa, weka Strasse Adresse hapa tukamuone. Isije ikawa ni mbinu ya kutaka kutuonyesha kuwa naye anaumwa ili kuvuruga concetration yetu kwa alichomfanyia Dr Mwakyembe. Acha kucheza na akili ya watu ninyi huyo mtu haumwi wala nini. Weka picha kama umeshindwa address basi. Chezea matahila sisi tunawajua sana. Arudi haraka Tanzania watu kanisa wanasubuli fedha zake wagawane. Tunajua reaction ya report ya Manumba last week, imemchanganya sasa mnatafuta sympahty mpya kuingilia kwenye makanisa
 
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni

Wapo wanaosambaza ujumbe kupitia SMS kwamba Mh. Amefariki, hapana. Huo ni uzushi wa kupuuzwa. Mh. Ni mzima. Wapiganaji Mh. Benno Malisa, January Makamba, Mama Shelukindo na Zitto Kabwe, endelezeni vita vya kulikomboa taifa. Mh. anawaaminia

Really?????????????!!!!!!!!!!

You must be kidding
 
Mungu akimpenda zaidi sio mbaya kwa sababu Mungu ndio kila kitu, anachopenda lazima kiwe akiamua kumponya au kumchukua sawa tu
 
..............funkuro !
Mkuu umenikumbusha mbali sana!!
Mwambie diopoluko maana watu wanakera kishenzi!! Yaani pamoja na ufisadi, kuchangia ugumu wa maisha tulionao watanzania eti li-mtu bado linamuombea maisha mema EL!!
Natamani ije taarifa ya maombolezo hiyo kidogo nitasema R.I.P!!
 
Yuko Ujeruman Hospital gani?, wengine tuko Ujeruman hapa, weka Strasse Adresse hapa tukamuone. Isije ikawa ni mbinu ya kutaka kutuonyesha kuwa naye anaumwa ili kuvuruga concetration yetu kwa alichomfanyia Dr Mwakyembe. Acha kucheza na akili ya watu ninyi huyo mtu haumwi wala nini. Weka picha kama umeshindwa address basi. Chezea matahila sisi tunawajua sana. Arudi haraka Tanzania watu kanisa wanasubuli fedha zake wagawane. Tunajua reaction ya report ya Manumba last week, imemchanganya sasa mnatafuta sympahty mpya kuingilia kwenye makanisani
Chuki za kijinga kama hizi ndio zimesababisha Lowasa sasa apate uungwaji mkono hata kutoka kwa watu waliokuwa wanampinga. why Lowasa na sio Jakaya Kikwete? haters!!
 
Ngoja tuweke siraha zetu chini tumuombee adui wetu apate afya ili tuendelee na vita nae,kama kufa aje afie huku nyumbani hadithi za akina Balali hatuzihitaji,
 
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni

Wapo wanaosambaza ujumbe kupitia SMS kwamba Mh. Amefariki, hapana. Huo ni uzushi wa kupuuzwa. Mh. Ni mzima. Wapiganaji Mh. Benno Malisa, January Makamba, Mama Shelukindo na Zitto Kabwe, endelezeni vita vya kulikomboa taifa. Mh. anawaaminia
Augue pole maana kama wanaadam tunaiombea kila nafsi afya na uhai. Ila sijui sentensi ya mwisho inamaanisha nini na kama wote ni watumwa kpro lowasa includingi Zitto.. Sitaki amini ila dhamira yoyote ya mabadiliko na maendeleo inakubalika.
Hivi hizi salamu za mapambano zimetoka kwa manywele fisadi himself au ni hisia zajo mtoa taarifa?
Twahitaji jua maana kama ni manywele mwenyewe mh...
 
Chuki za kijinga kama hizi ndio zimesababisha Lowasa sasa apate uungwaji mkono hata kutoka kwa watu waliokuwa wanampinga. why Lowasa na sio Jakaya Kikwete? haters!!

Wewe ndio unaoneka mjinga ambaye umeshindwa kuweka hata picha kama kweli anaumwa. Yuko hospital gani?. Msitake kutufanya watanzania wote mazuzu kwa siasa zenu za mwaka 1947. Huyo mtu haumwi kuna wingu anataka kulifuta kabla hajaibuka na siasa zake za makanisani
 
Lowassa is not suffering from Stroke as it is claimed by people next to him. The former PM has rather contracted a certain severe form of STI which is usually found in cats and leopards. In its late stages, the infection symptoms look almost similar to those of Stroke and doctors tend to invariably misdiagnose it.
 
Status
Not open for further replies.
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom