Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

Status
Not open for further replies.
Wewe ndio unaoneka mjinga ambaye umeshindwa kuweka hata picha kama kweli anaumwa. Yuko hospital gani?. Msitake kutufanya watanzania wote mazuzu kwa siasa zenu za mwaka 1947. Huyo mtu haumwi kuna wingu anataka kulifuta kabla hajaibuka na siasa zake za makanisani
Ukiwa tayari ni zuzu haitajiki tena mtu mwingine wa kukufanya uwe zuzu!!
 
Lowassa is not suffering from Stroke as it is claimed by people next to him. The former PM has rather contracted a certain severe form of STI which is usually found in cats and leopards. In its late stages, the infection symptoms look almost similar to those of Stroke and doctors tend to invariably misdiagnose it.
Are u Lowasa Doctor!!??
 
mleta thread hata mwaka jana huyu jamaa alipatwa na tatizo hilo hilo.....mwaka jana alikwenda indosesia na kupewa dawa huko.....tatizolakie huyu ni ubishi...alizuia kunywa pombe laini hasikii..hataki kuacha kunywa hiyo remmy martin...mikono yake sasa hivi inatetemeka...yote hii imetokana na hiyo stroke

lakini pia lowasa ni member wa ''club of 11'' na hapo ujerumani kulikuwa na kikao cha hiki kikundi.....hebu niambie lowaa kalazwa hospitali gani hapo ujerumani...tuanzie hapa kwanza maana watanzania wataaminishwa kitu tofauti na kilichopo na tunachokifahamu wachache
 
Bora huyu mtu atangulie mbele ya haki tu! Naam, akahukumiwe hukohuko mbinguni ! Maana mahakama za hapa duniani zimeshindwa! Issue ya richmond tu ingetosha kumuondoa siasani..cha ajabu mpaka leo..anadunda tu!
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana!!
Mwambie diopoluko maana watu wanakera kishenzi!! Yaani pamoja na ufisadi, kuchangia ugumu wa maisha tulionao watanzania eti li-mtu bado linamuombea maisha mema EL!!
Natamani ije taarifa ya maombolezo hiyo kidogo nitasema R.I.P!!

1. Dua la kuku .....
2. Mungu siyo athumani...
3. Mungu hana upendeleo...:lol:
 
Lowassa is not suffering from Stroke as it is claimed by people next to him. The former PM has rather contracted a certain severe form of STI which is usually found in cats and leopards. In its late stages, the infection symptoms look almost similar to those of Stroke and doctors tend to invariably misdiagnose it.

Da kumbe anaumwa dushelele!
 
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni

Wapo wanaosambaza ujumbe kupitia SMS kwamba Mh. Amefariki, hapana. Huo ni uzushi wa kupuuzwa. Mh. Ni mzima. Wapiganaji Mh. Benno Malisa, January Makamba, Mama Shelukindo na Zitto Kabwe, endelezeni vita vya kulikomboa taifa. Mh. anawaaminia

Duh, hawa wanapambana kwa niaba ya kina nani and against nani? its interesting umewaweka wazi
 
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni

Wapo wanaosambaza ujumbe kupitia SMS kwamba Mh. Amefariki, hapana. Huo ni uzushi wa kupuuzwa. Mh. Ni mzima. Wapiganaji Mh. Benno Malisa, January Makamba, Mama Shelukindo na Zitto Kabwe, endelezeni vita vya kulikomboa taifa. Mh. anawaaminia

Asante kwa taarifa, ila Mungu asituludishie akiwa hai tena, tumemchoka kama ukoma, bora babu yangu afufuke aludi akiwa mzima.
 
Hivi mnaomuombea uyu jamaa apone mnadhani Mungu ni mtanzania wakudanganywa na t-shirt na kofia? Let him gate what anachostahili, kaua wa2 wangapi? Kazurumu wangapi? Leo taifa halina hela ye na wenzake wanatibiwa ulaya ni mpiganaji kweli huyu au mwizi tu?
 
Wewe ndio unaoneka mjinga ambaye umeshindwa kuweka hata picha kama kweli anaumwa. Yuko hospital gani?. Msitake kutufanya watanzania wote mazuzu kwa siasa zenu za mwaka 1947. Huyo mtu haumwi kuna wingu anataka kulifuta kabla hajaibuka na siasa zake za makanisani
wandugu mrudisheni kwa nabii wake TB Joshua akamwagiwe maji matakatifu ili atokwe na pepo la ulafi!
 
Kwakuwa ni binadamu mwenzangu,basi apone haraka. Na apone ili siku Mwakyembe atakapojiamulia kuwa polisi na mahakama na kumtia hatiani mhusika aliyempa sumu Lowasa awepo na asikie.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom