Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

Status
Not open for further replies.

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri.

Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa.

Muombeeni mpiganaji wetu. anteni. Wapo wanaosambaza ujumbe kupitia SMS kwamba Mh. Amefariki, hapana. Huo ni uzushi wa kupuuzwa.

Mh. Ni mzima. Wapiganaji Mh. Benno Malisa, Peter Serukamba, January Makamba, Makongoro Mahanga, Mama Shelukindo na Zitto Kabwe, endelezeni vita vya kulikomboa taifa. Mh. anawaaminia

Update
Kwa taarifa zaidi. Jemedari Mkuu. Jembe la Maendeleo ameshawasili nchini. Amerudi salama na anawashukuru wote mliomumbea. Mkuu atajumuika kuhakikisha ushindi wa Kishindo kule Aerumeru Mashariki

 
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni
Vipi hali ya Rostam na Chege...binafsi hawa siwezi kuwaombea eti wapone badala yake wafe maana wamesababisha watanzania wengi kupoteza maisha kwa ufisadi wao...mafisadi, wanafiki wote kufeni tena haraka sana...
 
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo ([FONT=Arial,Helvetica]Ischemic Stroke[/FONT]) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni

Kwa kweli mimi sijamwombea na nadhani hayo ndiyo malipo ya unyonyaji aliyotufanyia wakati akiwa pm kabla hajajiuzulu na mpaka sasa
 
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni

Kazi nyingi sana anazifanya mh. Mungu amjalie apate nafuu. baadhi ya kazi nyingi ni hizi

Richmond - pasi ikapigwa kwenda Dowans
Dowans- kufilisi taifa
Siyoi Sumari - kushinikiza apitishwe ili kuimarisha ngome
Kuhudumu madhabahuni ili kupata wafuasi kwa ajili ya 2015 n.k.

Nchi yetu imebarikiwa watu wenye kumbukumbu finyu sana, ukifanya ufisadi unajisafisha kanisani then unakuwa MR Clean. very simple indeeed.
 
Ha ha ha ha! Ooh eti mpigani! Get well soo El uje uchukue mshiko wako wa Dowans!
 
Tunamuombea apone upesi aje kuendeleza mapambano

Mapambano yapi! Yakuwapa wabaya wake sumu? Au yakuwanyonya watanzania kupitia dowans? Au yakuyaingiza makanisa jehanamu kwakutoa rushwa yakuwajengea majengo? Au yakuzuia ufanikishwaji wa dhana yakujivua gamba?
 
Status
Not open for further replies.
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom