Madiwani wa Chadema watwangana Moshi

Mwandishi Daniel Mjema,amekuwa mara zote akiandika habari za upotoshwaji juu ya CHADEMA hasa Moshi,huu ni unafiki wa kiwango cha juu
 
wenzeni ccm wanatekeleza ahadi kwa speed mbaya ...jana wamezindua ujenzi wa daraja la mto kilombero ..kazi mnayo
INTAFANYA VS NIMEFANYA... NINACHO HIKI HAPA VS NTAKIPATA NIKIINGIA...
 
hakuna kitu hapo..mkiandikwa ninyi CDM ni upotoshaji lakini wakiandikwa CCM ni sahihi si upotoshaji.. hizo ni siasa za waoga na za maji taka.. pokeeni ukweli ila mjirekebishe mana mnayo yasema mdomoni sio yaliyoko mionyoni mwenu... chama cdn ni kama kikundi tu cha watu wawili watatu.... tanueni chama na mkubali ukweli
 
Wanaume ni kupeana makavu laivu hii ya CCM kila mtu anamwogopa mwenzie ndio maana nchi imefikia hapa tulipo
 
Hii nayo umeona ni story???Una lako jambo gamba mkubwa wewe....ptyuuuuuuuu!!!Tupa kuleee.

ingekuwa sio stori mwananchi wasingeandika.
Washabiki wengi wa cdm ni wanamtazamo finyu sana,
hawapendi kuambiwa ukweli na wanaiona cdm au wana cdm kama malaika wasiokosea.
 
Mwananchi lina tofauti gani na udaku wa shigongo?Mbona halijaandika masuala ya mlungula wa magamba?walibalance kwa kuwauliza wale madiwani kama kweli walipigana?maana walengwa wamekanusha hawajawahi kufanya kitu kama hicho....Acheni zenu mnashabikia upuuzi wa makanjanja na njaa zao kali wakiishi kwa vibahasha vya magamba ili wawachafue makamanda wetu...tumewashtukia.
 
wenzeni ccm wanatekeleza ahadi kwa speed mbaya ...jana wamezindua ujenzi wa daraja la mto kilombero ..kazi mnayo
INTAFANYA VS NIMEFANYA... NINACHO HIKI HAPA VS NTAKIPATA NIKIINGIA...

waache waendelee na porojo, huu ni mwaka wa 2 wa jk na ahadi kibao kashaanza kuzitekeleza, sipati picha akifika 2015 atakuwa kafanya mangapi.
Cdm wanapiga porojo tu, hata majimbo yao yamewashinda.
Zunguka ubungo, kawe au hai ukajionee usanii wa wabunge wao.
 
He he heeeeee kumekucha , waache wafu wawazike wafu wenzao. Hapo bado hawajapewa nchi, siku wakipewa nchi watagombea mpaka hazina ya nchi na kugombea rasilimali za nchi. Tuliisha sema cdm iko kwa maslahi binafsi na si ya nchi, kalagabaho !

he he he nini?upashkuna tu na kiherehere.sema unachakiamini na si kudandia treni kwa mbele!kitu km hujui ni bora kunyamaza kuliko kubwabwaja hovyo.
 
Mwananchi lina tofauti gani na udaku wa shigongo?Mbona halijaandika masuala ya mlungula wa magamba?walibalance kwa kuwauliza wale madiwani kama kweli walipigana?maana walengwa wamekanusha hawajawahi kufanya kitu kama hicho....Acheni zenu mnashabikia upuuzi wa makanjanja na njaa zao kali wakiishi kwa vibahasha vya magamba ili wawachafue makamanda wetu...tumewashtukia.

Heri Mwananchi lifungiwe tumechoka nalo sasa! hapo mwanzo lilitushabikia CDM naona washahongwa hao wende zao bana!!!
 
Hao Madiwani kama ni kweli walifanya hivyo inatakiwa watiwe adabu, na si kuachwa tu wakichafua chama makini kama Chadema. CCM kutunyooshea kidole ni halali kama hilo limetokea, maana kwa kawaida mtu mwovu kupindukia akipata kakosa kadogo tu ka mtu makini ndio atakashikilia hako mpaka abembee. Waachwe waseme ili kupooza utumbo waliouonyesha kwenye chaguzi za jumuiya zao.
 
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.

MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU

Hata kama wangekunyxa barabarani we dont care, mabadiliko ni muhimu sana kuliko kutwangana.
 
waache waendelee na porojo, huu ni mwaka wa 2 wa jk na ahadi kibao kashaanza kuzitekeleza, sipati picha akifika 2015 atakuwa kafanya mangapi.
Cdm wanapiga porojo tu, hata majimbo yao yamewashinda.
Zunguka ubungo, kawe au hai ukajionee usanii wa wabunge wao.

kaza buti jk tekeleza ahadi zako mungu ni mwema watakuja umbuka 2015 mana ccm watakuwa na kitu mkononi hao cdm watakuwa tu na ntafanya ... Wapi na wapi ntafanya vs nimefanya...
Tatizo cdm hawataki ambiwa ukweli ndo hapo hicho chama kinakwenda kufa.. Wamepewa ridha ya kuongoza jiji la mwanza limewashinda sasa moshi ndo hiyo inaelekea sasa mana kiongozi kweli unagombania kupanda gari ya meye ...
 
mwananchi lina tofauti gani na udaku wa shigongo?mbona halijaandika masuala ya mlungula wa magamba?walibalance kwa kuwauliza wale madiwani kama kweli walipigana?maana walengwa wamekanusha hawajawahi kufanya kitu kama hicho....acheni zenu mnashabikia upuuzi wa makanjanja na njaa zao kali wakiishi kwa vibahasha vya magamba ili wawachafue makamanda wetu...tumewashtukia.

ha ha ha mumeshikwa pabaya....kazi mnayo na hiyo m4c ya maandamano kama ndugu zetu....
 
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.

MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU

Uwo ni unafki tafuta hoja ya maana.
 
Daah....Duh...Ya kweli haya...!!!!!!!!
Daah
 
kaza buti jk tekeleza ahadi zako mungu ni mwema watakuja umbuka 2015 mana ccm watakuwa na kitu mkononi hao cdm watakuwa tu na ntafanya ... Wapi na wapi ntafanya vs nimefanya...
Tatizo cdm hawataki ambiwa ukweli ndo hapo hicho chama kinakwenda kufa.. Wamepewa ridha ya kuongoza jiji la mwanza limewashinda sasa moshi ndo hiyo inaelekea sasa mana kiongozi kweli unagombania kupanda gari ya meye ...
habari imekaa kidaku haitaji majina yao madiwani ......
ona hii namnukuu jk akifungua mkutano wa uvccm ...nashangaaa rushwa imefika mpaka kwa wanawake ..mtakipeleka kubaya chama chenu....
kazi ya mbunge sio kujenga barabara ni kodi zetu zikisimamiwa na serikali ....haya chukuwa na hii ya mama nagu arumeru...msichaguwe wapinzani kwaani serikali ya ccm haitawaletea maendeleo

Back
Top Bottom