Sishangai na majibu yako kumbe mfumo mzima wote ni makanjanja Kikwete anaambiwa wananchi wanakula mapanki anasema thibitisha,madaktari hawana vifaa vya kutibia anasema thibitisha watoto wanapandishwa karandika thibitisha kikwete ni kanjanja dunia ya leo unangojea maji ya mvua kweli hivi haoni aibu kweli anawezaje kwenda Kempsinki huko Serengeti sasa hivi wakati watoto hawako shuleni fedha ngapi anaenda kutumbua huko muulize amebeba ngua za mazoezialete maji kwani yeye kawa mvua? Unataka kutuambia CDM ikishika nchi mvua zitaongezeka?