Madiwani wa CHADEMA Arusha kususia mapokezi ya JK kesho

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Wanabodi
Taarifa za uhakika kutoka miongoni mwa madiwani wa CHADEMA manispaa ya Arusha,zinasema kuwa hawatashiriki mapokezi ya Rais wa JMT anayetarajiwa kufika Arusha kesho,Awali madiwani wote walipaswa kumpokea Rais Kikwete kesho saa nne kwenye uwanja wa ndege wa Arusha.Kwa mujibu wa madiwani wa CHADEMA wanapinga kupewa short notice tena kwa simu kinyume na kanuni,pia kwa kuwa Meya atashiriki hayo mapokezi na wao hawamtambui
Je ni halali madwani kukataa kumpokea Mh Rais?
 
Ni halali utampokeaje mtu aliechakachua sheria na taratibu za uchaguzi? Yeye ni baba wa ccm,pinda na mkuchika wote waliohusika kupandikiza wizi na ubakaji wa demokrasia hapa arusha!
 
Hao madiwani Komedi, sidhani kama structure ya uongozi wanaijua. Kwenye mapokezi ya rais wao hawana tofauti na wafagiaji wa pale KIA, hawana ruhusa hata kusogea mita 100.
 
Wana umuhimu gani hao? Waende au wasiende,hakuna litakao pungua. Naona siku hizi hata madiwani nao unawasikia.
 
Wana umuhimu gani hao? Waende au wasiende,hakuna litakao pungua. Naona siku hizi hata madiwani nao unawasikia.

Hapo madiwani wenyewe ndio akina Nanyaro, hata kufugia nywele vichwa vyao havitoshi.
 
Wataendaje kumpokea raisi anafanya mambo yake kama Mbayuwayu
nchi haitawaliki tena umaskini umekithiri fujo kila mahala madaktari,waalimu,wakulima,wafanyakazi migodini huyo mtu mzembe wa aina hiyo ni wakumpa heshima hata ya kumpokea atokomee huko hana maana kwenye nchi hii raisi mbaya kuliko wote ameharibu nchi ni wakupopotoa manyanya tuu huyo
 
mawazo mgando, hii ndio faida ya kutumia ubongo wako kichama.
 
Wangeenda ningewashangaa sana!
Kikwete anawakomoa watanzanzania kwa sababu hawakumchagua, na yeye anajua hakuchaguliwa na watanzania!
 
Wana haki ya kutompokea tena chanzo inasema wamepewa hbr short time sasa ya nini kumpokea?

Hivi anakuja kuangalia miradi yake ama??
 
Wangeenda ningewashangaa sana!
Kikwete anawakomoa watanzanzania kwa sababu hawakumchagua, na yeye anajua hakuchaguliwa na watanzania!

Ila hakika anajikomoa mwenye Mkuu yani ameipa wakati mgumu chama chake kwa ujumla!
 
Back
Top Bottom