Madiwani wa CHADEMA Arusha kususia mapokezi ya JK kesho

NDIO,Sio rais tuu,mtu yeyote.Kiitifaki huwezi kumtaarifu kiongozi kuhusu jambo la kiutaratibu kwa simu,tena muda mfupi kabla ya jambo lenyewe.
 
Ni watu wadogo sana hao,yani hawana hata hadhi ya kumpokea PM. Wanatafuta umaarufu tu kusema hawataenda. We ngoja wasikie kuna mlo hapo KIA,watachukua mpaka familia zao.
 
haya ni maneno ya kisiasa tu humu! wao madiwani hawamtambui, mbona viongozi wao wanaenda mpaka ikulu na kukaribishwa juice, na wao kufikisha maombi yao, je wanaendaga kwa kivuli kule! na mbona kukitokea jambo viongozi wao wanatamka neno mh.rais panapo hitajika! vitu vingine ni siasa zaidi! sijawaelewa wakisema hawamtambui rais

wamesema hawamtambui Meya na sio raisi na hawahudhurii pia kwakuwa wamepewa short notice! Huelewi au unajitia wazimu!?
 
Ni rais wa pekee ambaye dunia imepata kumshuhudia. Mwezi wa 2 alienda kuwapa ng'ombe wamasai huko Longido. Sasa hv tena anaenda Ngoro2 kuwapa ng'ombe. Watu hawana maji ya kunywa, ngombe wanakufa kwa kiu, bado unawapa ng'ombe.
Mbona haji Arusha mjini? kuna nini hapa town? Km anategemea kura za Wamasai asahau, amuulize Sendeka nn kinaendelea kwa Wamasai.
Madiwani msisogee kwa huyo mtu, maana mtaishia kupewa FUTARI jioni, kwisha habari yenu.
Achaneni na huyo mtu.
 
Ni watu wadogo sana hao,yani hawana hata hadhi ya kumpokea PM. Wanatafuta umaarufu tu kusema hawataenda. We ngoja wasikie kuna mlo hapo KIA,watachukua mpaka familia zao.

haya ni mawazo ya kipuuzi kabisa! Mlo na pilau ni kwa wajumbe wa ccm. Cdm wala hawafikirii
 
wamesema hawamtambui Meya na sio raisi na hawahudhurii pia kwakuwa wamepewa short notice! Huelewi au unajitia wazimu!?
wana kazi gani kubwa mpaka wapewe notice ya mwezi?siku nzima ni kushinda vijiweni au bar
 
Wanabodi
Taarifa za uhakika kutoka miongoni mwa madiwani wa CHADEMA manispaa ya Arusha,zinasema kuwa hawatashiriki mapokezi ya Rais wa JMT anayetarajiwa kufika Arusha kesho,Awali madiwani wote walipaswa kumpokea Rais Kikwete kesho saa nne kwenye uwanja wa ndege wa Arusha.Kwa mujibu wa madiwani wa CHADEMA wanapinga kupewa short notice tena kwa simu kinyume na kanuni,pia kwa kuwa Meya atashiriki hayo mapokezi na wao hawamtambui
Je ni halali madwani kukataa kumpokea Mh Rais?

Nadhani ndio Demokrasia yenyewe ili mradi huvunji sheria. Kwanza haya mambo ya kupokeaga viongozi yamepitwa na wakati..na ni kupotezeana muda tu. Mimi nadhani Tanzania inabidi tuanzishe kitu kinachoitwa Time Sheet, na kwamba watu wawe wanalipwa kutokana na masaa aliyozalisha tu na wala si haya ya kiprotokali, nadhani hapo watu watapiga kazi ile mbaya na haya mambo ya kupokea watu wataisha yenyewe.
 
wana kazi gani kubwa mpaka wapewe notice ya mwezi?siku nzima ni kushinda vijiweni au bar
Wanafanya kama afanyavyo Kikwete IKULU kimekua kituo cha polisi kutwa kuzurura nyumba yake imetoboka mafuriko yamesogea karibu atasombwa yeye anazurura tuu ikawa mchana ikawa usiku hajali kitu mwana wa msata hovyooo
 
Ni rais wa pekee ambaye dunia imepata kumshuhudia. Mwezi wa 2 alienda kuwapa ng'ombe wamasai huko Longido. Sasa hv tena anaenda Ngoro2 kuwapa ng'ombe. Watu hawana maji ya kunywa, ngombe wanakufa kwa kiu, bado unawapa ng'ombe.
Mbona haji Arusha mjini? kuna nini hapa town? Km anategemea kura za Wamasai asahau, amuulize Sendeka nn kinaendelea kwa Wamasai.
Madiwani msisogee kwa huyo mtu, maana mtaishia kupewa FUTARI jioni, kwisha habari yenu.
Achaneni na huyo mtu.

Nimeisoma hii thread nikapatwa na mshangao. Nimejiuliza iweje jk aje A town. Nimesema mara nyingi hapa. Jk hawezi kutia mguu A town. Ni wageni wanaodanganywa kwamba yupo Arusha, wanadhani ni mjini, kumbe yupo Loliondo, km 400 kutoka A town. Huyu jamaa hawezi kuja A town. Narudia tena, hawezi kuja A town hata akifungwa kamba!
 
Hakuna haja ya kumpokea rais mvunja sheria na mwizi fisadi na mteka nyara,muuaji na mjahidina,na kwanini wampokee rais asiyefahamu ni kwa nini Tanzania ni maskini.Kilaza mkubwa
 
Wanafanya kama afanyavyo Kikwete IKULU kimekua kituo cha polisi kutwa kuzurura nyumba yake imetoboka mafuriko yamesogea karibu atasombwa yeye anazurura tuu ikawa mchana ikawa usiku hajali kitu mwana wa msata hovyooo
gwanda utamjua tu.hivi nyie uwa mnapewa course ya kufikiri ki cdm cdm?
 
Mkuu! Nimetangulia ktk post ya hapa ya kwamba hw mafisadi wameshachokoza moto kitambo!

Taifa lolote lile linashikiliwa na vijana na vijana ktk Taifa letu ama popote pale ni kuanzia age 18-45 na ndiyo hao sasa wamechafukwa na mioyo hawaoni wala hawasikii tunasema mabadiliko yanawezekana.

Si unamwona huyu anayeenda kuwadanganya wazee kwa ng'ombe wakati watu hawana vitu muhimu kama ulivyotaja hapa chini.

.Huyu jk na chama chake amepoteza NETWORK!

Ni rais wa pekee ambaye dunia imepata kumshuhudia. Mwezi wa 2 alienda kuwapa ng'ombe wamasai huko Longido. Sasa hv tena anaenda Ngoro2 kuwapa ng'ombe. Watu hawana maji ya kunywa, ngombe wanakufa kwa kiu, bado unawapa ng'ombe.
Mbona haji Arusha mjini? kuna nini hapa town? Km anategemea kura za Wamasai asahau, amuulize Sendeka nn kinaendelea kwa Wamasai.
Madiwani msisogee kwa huyo mtu, maana mtaishia kupewa FUTARI jioni, kwisha habari yenu.
Achaneni na huyo mtu.
 
gwanda utamjua tu.hivi nyie uwa mnapewa course ya kufikiri ki cdm cdm?
Tanzania ni ya wote na yeyote anayetaka kuikalia IKULU lazima akili zake zitoshe awe kiongozi kweli sio wa kuwasha na kuzima kwa hiyo tuongelee nchi yetu usipindishe mada hapa Kikwete anaenda kugawa ng'ombe ngorongoro maji kapeleka au majosho kajenga au ndio anaenda kempisinki ya mjamaa aliyemgawia suti sita tunajua janja yake
 
Ni rais wa pekee ambaye dunia imepata kumshuhudia. Mwezi wa 2 alienda kuwapa ng'ombe wamasai huko Longido. Sasa hv tena anaenda Ngoro2 kuwapa ng'ombe. Watu hawana maji ya kunywa, ngombe wanakufa kwa kiu, bado unawapa ng'ombe.
Mbona haji Arusha mjini? kuna nini hapa town? Km anategemea kura za Wamasai asahau, amuulize Sendeka nn kinaendelea kwa Wamasai.
Madiwani msisogee kwa huyo mtu, maana mtaishia kupewa FUTARI jioni, kwisha habari yenu.
Achaneni na huyo mtu.

jk hawezi kuja A town! Ataishia huko huko.
 
Nimeisoma hii thread nikapatwa na mshangao. Nimejiuliza iweje jk aje A town. Nimesema mara nyingi hapa. Jk hawezi kutia mguu A town. Ni wageni wanaodanganywa kwamba yupo Arusha, wanadhani ni mjini, kumbe yupo Loliondo, km 400 kutoka A town. Huyu jamaa hawezi kuja A town. Narudia tena, hawezi kuja A town hata akifungwa kamba!
wewe kweli kichekesho. JK ni RAIS wa TZ,akitaka kuingia hata nyumbani kwenu ataingia tena utampa na master bedroom yenu alale. hizi ni kelele zenu tu humu JF lakini ukikutana nae lazima utajifaragua. Oh mzee,karibu sana. Asante sana kwa kututembelea.halafu unaanza kutoa shida zako.wabongo hamtabadilika
 
wamesema hawamtambui Meya na sio raisi na hawahudhurii pia kwakuwa wamepewa short notice! Huelewi au unajitia wazimu!?

mkuu! kunawakati unachakachua kidogo ili uone upepo unavyokwenda! siunaijua tena jf! nimekupata mkuu
 
Tanzania ni ya wote na yeyote anayetaka kuikalia IKULU lazima akili zake zitoshe awe kiongozi kweli sio wa kuwasha na kuzima kwa hiyo tuongelee nchi yetu usipindishe mada hapa Kikwete anaenda kugawa ng'ombe ngorongoro maji kapeleka au majosho kajenga au ndio anaenda kempisinki ya mjamaa aliyemgawia suti sita tunajua janja yake
alete maji kwani yeye kawa mvua? Unataka kutuambia CDM ikishika nchi mvua zitaongezeka?
 
Bora wagomee kwa sbb ya kukataa kushughulikia mambo mazito yeye anatafuta posho za safari.
 
Back
Top Bottom